* KENYA YAPATA HESHIMA KUBWA DUNIANI NI MFANO WA KUIGWA*

Kufuatia kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi wa Agosti 8 nchini Kenya uliompa ushindi Rais Uhuru Kenyatta, hatua hiyo imepongezwa na maafisa wa balozi wa mataifa 23 duniani ambao wamesema nchi hiyo imeonesha kuheshimu utawala wa sheria.

Umoja wa mataifa kwa upande wake umevitaka vyama vya siasa Kenya kuheshimu maamuzi ya mahakama na kujipanga kurudia uchaguzi huo kama ilivyoamuriwa.

Kenya ni nchi ya kwanza barani Afrika kufuta matokeo ya uchaguzi wa rais ambapo uamuzi huo ulitolewa na Mahakama ya Juu nchini humo ambayo ilitoa uamuzi wa kihistoria wa kufuta matokeo ya uchaguzi na imeahidi kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu sababu zilizopelekea kutolewa uamuzi huo ndani ya siku 21.

Mahakama hiyo ya juu nchini humo inayoundwa na majaji saba ambao hukumu yao ni ya mwisho na isiyopingwa, iliundwa na katiba mpya ya mwaka 2010.

Kwa upande wa chama cha upinzani kilichofungua mashtaka hayo kimeonesha wasiwasi wake juu ya watendaji wa tume ya uchaguzi nchini humo IEBC na kutaka kufanyika kwa mabadiliko.

Uchaguzi mpya nchini Kenya unatarajiwa kufnayika ndani ya siku sitini tangu kufutwa kwa uchaguzi huo

Match Codes - 2017-09-01

πŸ’₯Duta brings you football⚽ to follow live❗️πŸ’₯To follow upcoming games live, type πŸ’¬the code listed:

πŸ’₯ Friendly

sf313 - Amiens Vs ChΓ’teauroux - πŸ• Sep 01, 05:00 PM EAT

sf314 - Sporting Charleroi Vs Valenciennes - πŸ• Sep 01, 05:00 PM EAT

sf317 - St PΓΆlten Vs Hartberg - πŸ• Sep 01, 06:30 PM EAT

sf320 - St Pauli Vs Groningen - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

sf321 - Werder Bremen Vs Korona Kielce - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

sf322 - WΓΌrzburger Kickers Vs Mainz 05 - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

To follow πŸ† Friendly matches live,

⚽ Type +football friendly

πŸ’₯ Uefa World Cup Qualifying

sf318 - Kazakhstan Vs Montenegro - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

To follow πŸ† Uefa World Cup Qualifying matches live,

⚽ Type +football uefa world cup qualifying

πŸ’₯ World Cup Qualifying - Caf

sf316 - Ghana Vs Congo - πŸ• Sep 01, 06:30 PM EAT

sf319 - Nigeria Vs Cameroon - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

To follow πŸ† World Cup Qualifying - Caf matches live,

Post has attachment
Amzing flower for your ......
Photo

Match Codes - 2017-09-01

sf364 - As Roma Vs Chapecoense Af - πŸ• Sep 01, 09:45 PM EAT

sf317 - St PΓΆlten Vs Hartberg - πŸ• Sep 01, 06:30 PM EAT

sf320 - St Pauli Vs Groningen - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

sf321 - Werder Bremen Vs Korona Kielce - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

sf322 - WΓΌrzburger Kickers Vs Mainz 05 - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

sf323 - Strasbourg Vs Sandhausen - πŸ• Sep 01, 07:30 PM EAT

sf325 - Bordeaux Vs Eibar - πŸ• Sep 01, 08:00 PM EAT

To follow πŸ† Friendly matches live,

⚽ Type +football friendly

πŸ’₯ Portugal Taca Da Liga

sf450 - MarΓ­timo Vs Estoril - πŸ• Sep 01, 08:00 PM EAT

To follow πŸ† Portugal Taca Da Liga matches live,

⚽ Type +football portugal taca da liga

πŸ’₯ Ecuador Serie A

sf324 - Clan Juvenil Vs Guayaquil City Fc - πŸ• Sep 01, 08:00 PM EAT

To follow πŸ† Ecuador Serie A matches live,

⚽ Type +football ecuador serie a

πŸ’₯ Uefa World Cup Qualifying

sf318 - Kazakhstan Vs Montenegro - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

To follow πŸ† Uefa World Cup Qualifying matches live,

⚽ Type +football uefa world cup qualifying

πŸ’₯ Copa Argentina

sf326 - Racing Club Vs Olimpo - πŸ• Sep 01, 09:00 PM EAT

To follow πŸ† Copa Argentina matches live,

⚽ Type +football copa argentina

πŸ’₯ Dutch Eerste Divisie

sf327 - Dordrecht Vs Emmen - πŸ• Sep 01, 09:00 PM EAT

sf328 - Fortuna Sittard Vs Almere City - πŸ• Sep 01, 09:00 PM EAT

To follow πŸ† Dutch Eerste Divisie matches live,

⚽ Type +football dutch eerste divisie

πŸ’₯ World Cup Qualifying - Caf

sf316 - Ghana Vs Congo - πŸ• Sep 01, 06:30 PM EAT

sf319 - Nigeria Vs Cameroon - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

#PAUL POGBA MAN U PLAYER#

KIUNGO Paul Pogba amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Agosti wa Manchester United, hivyo kuwa mchezaji bora wa kwanza wa mwezi kwa msimu huu wa 2017/2018 baada ya kazi nzuri mwezi uliopita.

Zaidi ya mashabiki 160,000 wamempigia kura katika akaunti ya Twitter ya klabu na Pogba akafanikiwa kuwaangusha Nemanja Matic na Phil Jones kuchukua tuzo hiyo.

Ulikuwa mwezi mgumu na wa kukumbukwa kwa Pogba, ambaye alifunga mabao mawili, akitoa pasi ya bao moja na kuwa Mchezaji Bora wa Mechi mara mbili kutokana na kuonyesha kiwango kizuri uwanjani akiisaidia timu yake kumaliza mwezi kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya kubeba pointi zote katika mechi tatu za awali.

Mfaransa huyo alifunga katika ushindi wa 4-0 dhidi ya West Ham United na Swansea City, akamsetia Anthony Martial kufunga dhidi ya Swans na soka yake nzuri ikamfanya atajwe Mchezaji Bora wa Mechi Uwanja wa Liberty kabla ya kufunga tena na kuwa Mchezaji Bora wa Mechi katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Leicester Uwanja wa Old Trafford.

Bao lake dhidi ya The Hammers katika wiki ya ufunguzi ya Ligi Kuu, limewekwa kwenye orodha ya mabao ya kipekee ya klabu, wakati bao lake dhidi ya Swansea limeshinda tuzo ya Bao Bora la Mwezi Agosti.

Na Pogba mwenye umri wa miaka 24, anachukua tuzo hizo akitoka kushinda tuzo za Mchezaji Bora wa Msimu wa michuano ya Europa League baada ya kuisaidia United kutwaa ubingwa msimu uliopita wa 2016/2017.

Pogba pia alishinda tuzo ya mwezi wa mwisho wa msimu uliopita, Mei baada ya kazi nzuri ikiwemo kufunga bao bao katika Europa League dhidi ya Ajax mjini Stockholm,

WAKIMBIZI WA NCHINI BURUNDI KUREJEA NYUMBANI

WAKIMBIZI 12,000 kutoka nchini Burundi walioonesha nia ya kurejea nchini kwao na kujiandikisha, wanatarajia kuanza kurudi kuanzia Septemba 7, mwaka huu.

Aidha, serikali imesema atakayesema Tanzania inafukuza wakimbizi nchini, itabidi kukaa naye meza moja ili aeleze kuhusu kauli hiyo kwani kufanya hivyo ni kuchafua jina la nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba alisema hayo jana katika mkutano wa Kamisheni ya Utatu inayoshughulikia kuwarudisha wakimbizi wa Burundi nchini kwao kwa hiari yao.

Mwigulu alisema kuwarejesha kwa mujibu wa sheria za kimataifa, ni haki ya mkimbizi yeyote kuondoka na kurejea katika nchi yake. Alisema kwa kuwa kazi ya kuwarejesha itaanza Alhamisi ijayo, inawezekana kukawepo idadi kubwa ya wakimbizi wenye kuonesha nia ya kutaka kuondoka kwa hiari, lakini pia kazi ya kuwarejesha ni endelevu ambayo inaweza kuwa na ongezeko kubwa la wanaotaka kurudi.

Mwigulu alisema kwa maana hiyo ni wajibu wa mashirika ya kimataifa kusaidia na kuwezesha kazi ya kuwarejesha makwao pamoja na maeneo watakayoishi nchini Burundi ili kazi ya kuwarejesha iwe endelevu zaidi. β€œIli kufikia lengo ni muhimu kupanga kwa umakini kwa kuangalia malengo ya mbeleni ya wakimbizi ili kuepuka kurudi kwa ghafla,” alieleza Mwigulu na kuongeza kuwa sheria za kimataifa zinahitaji kuona utayari wa nchi husika katika kutoa ulinzi kwa wakimbizi watakaorudi.

Alisema Serikali ya Tanzania inatambua hali ya Burundi imetulia na inaruhusu wakimbizi walio tayari kurejea nchini kwao kwani Agosti 22, mwaka huu, Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza alipokutana na Rais John Magufuli, alikiri hali kuwa shwari nchini humo na kwamba warudi wakajenge nchi yao.

Kuhusu Tanzania kufukuza wakimbizi, alisema vipo vyombo vya nje vilivyodhani kuwa Tanzania inafukuza wakimbizi, wakiongeza zaidi kuwa inatumia jeshi na kuwatoa kwa nguvu, jambo ambalo siyo la kweli.

Naye Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Burundi, Pascal Barandagiye alisema ni muhimu kwa kamisheni hiyo kujiunga ili wakimbizi hao wanaoomba warudi mapema na isichukue muda mrefu sana. Alisema wako tayari kuwapokea warudi ili waende kusaidia kujenga nchi yao. Kwa upande wake, Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR), Chansa Kapaya alisema ni muhimu kwao kuwa na imani na kule wakimbizi wanakokwenda kuwe na usalama kwa kuwa ni kazi inayokubalika kimataifa.

Match Codes - 2017-09-01

sf364 - As Roma Vs Chapecoense Af - πŸ• Sep 01, 09:45 PM EAT

sf317 - St PΓΆlten Vs Hartberg - πŸ• Sep 01, 06:30 PM EAT

sf320 - St Pauli Vs Groningen - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

sf321 - Werder Bremen Vs Korona Kielce - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

sf322 - WΓΌrzburger Kickers Vs Mainz 05 - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

sf323 - Strasbourg Vs Sandhausen - πŸ• Sep 01, 07:30 PM EAT

sf325 - Bordeaux Vs Eibar - πŸ• Sep 01, 08:00 PM EAT

To follow πŸ† Friendly matches live,

⚽ Type +football friendly

πŸ’₯ Portugal Taca Da Liga

sf450 - MarΓ­timo Vs Estoril - πŸ• Sep 01, 08:00 PM EAT

To follow πŸ† Portugal Taca Da Liga matches live,

⚽ Type +football portugal taca da liga

πŸ’₯ Ecuador Serie A

sf324 - Clan Juvenil Vs Guayaquil City Fc - πŸ• Sep 01, 08:00 PM EAT

To follow πŸ† Ecuador Serie A matches live,

⚽ Type +football ecuador serie a

πŸ’₯ Uefa World Cup Qualifying

sf318 - Kazakhstan Vs Montenegro - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

To follow πŸ† Uefa World Cup Qualifying matches live,

⚽ Type +football uefa world cup qualifying

πŸ’₯ Copa Argentina

sf326 - Racing Club Vs Olimpo - πŸ• Sep 01, 09:00 PM EAT

To follow πŸ† Copa Argentina matches live,

⚽ Type +football copa argentina

πŸ’₯ Dutch Eerste Divisie

sf327 - Dordrecht Vs Emmen - πŸ• Sep 01, 09:00 PM EAT

sf328 - Fortuna Sittard Vs Almere City - πŸ• Sep 01, 09:00 PM EAT

To follow πŸ† Dutch Eerste Divisie matches live,

⚽ Type +football dutch eerste divisie

πŸ’₯ World Cup Qualifying - Caf

sf316 - Ghana Vs Congo - πŸ• Sep 01, 06:30 PM EAT

sf319 - Nigeria Vs Cameroon - πŸ• Sep 01, 07:00 PM EAT

Wait while more posts are being loaded