Post has attachment
Mashindano ya BUKOBA DANCE 255 yalivyofunguliwa rasmi Bukoba mjini katika viwanja vya Uhuru platform jmosi 11/11/2017
#millennium stars entertainment co.ltd ndoo kiboko yao
PhotoPhotoPhoto
Bukoba dance 255
21 Photos - View album

Post has shared content

Post has shared content

Post has shared content
WAKATI MAKUNDI YAKIENDELEA KUSUBIRIA MAAMUZI YA MAJAJI KUHUSU MAKUNDI YATAKAYOTOKA NA YATAKAYOBAKI
Wakati huu wa kusubiri maamuzi ya Majaji ulikua wakati Mgumu kwa Makundi yote yaliyoshiriki katika shindano kwani Makundi mawili yalipaswa kuaga shindano.

Baada ya kufanya shindano la Dance 255 mkoani Dodoma wilaya ya Dodoma mjini kwa msimu wa kwanza 2016/2017..MILLENIUM STARS ENTERTAINMENT STARS CO.LIMITED tunakuletea shindano hili kwa msimu wa 2017/2018 kivingine kwa msimu wa pili wilaya ya Bukoba njini na Mwanza mjini ambapo makundi ya kudance yachuana vikali kuwania kitita cha shillingi millioni 1 ya kitanzania....Get ready....tunakufata mpaka ulipo kukupa burudani mubashara..

Post has shared content
ROUND YA TANO YA SHINDANO LA DANCE 255 YATIKISA JAMHURI STADIUM
Makundi mbalimbali ya Dancers yakisubiri maamuzi ya majaji kuhusu kundi gani litoke na kundi gani libaki. Siku ya jana shindano la Dance 255 lilichukua Sura mpya baada ya Mchuoano Mkali wa Dancers kuwania nafasi ya kusonga mbele katika shindano la Dance 255...
Wait while more posts are being loaded