Post has attachment

🏓 Kama ndio unaanza chini kwenye maisha, kuna kuhangaika sana hasa linapokuja swala la fursa ipi uifanye. Kila kitu utakuwa unatamani ukifanye na inafika mahali unajikuta kama upo njia panda usijue kipi cha kufanya maana unaona kila kitu ni 'dili' kwako.

🏓Unapokuwa katika hali hii naomba tu nikwambie hivi tuliza akili, fursa za kufanikiwa zipo nyingi. CHAGUA FURSA MOJA na kisha fursa hiyo uitekeleze, kuhangaika sana hakutakusaidia kitu, tulia na fanya kwanza kitu kimoja kwa uhakika na hayo mengine yatafuata.

Post has shared content

Post has attachment
Photo

Post has shared content

Post has attachment

Post has shared content

Post has shared content

Post has shared content
Originally shared by ****
Photo
Wait while more posts are being loaded