Profile cover photo
Profile photo
Aloy Son
88 followers
88 followers
About
Posts

Post has attachment
LIVE WAZEE WA NGWASUMA [FM ACADEMIA] NDANI YA TABORA USIKU HUU
PICHA ZAIDI ZITKUJIA ENDELEA KUPITIA
Add a comment...

Post has attachment
Audio | Diamond Platnumz - Nikifa Kesho | DOWNLOAD
Add a comment...

Post has attachment
SAKATA LA AL SHABAAB LAIBANA KOO SERIKALI; MAANDALIZI YA MAANDAMANO KUMTAKA RAIS WA KENYA AJIUZURU
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Makamu wake, William Ruto, sasa wanakabiliwa na shinikizo la kutakiwa kujiuzulu, kutokana na shambulio la kigaidi kwenye maduka ya Westgate. Hatua hiyo imekuja baada ya kuwako kwa habari kwamba viongozi hao wa juu pamoja na ...
Add a comment...

Post has attachment
YASEMEKANA MWANAMKE ALIYEONGOZA SHAMBULIZI LA WESTGATE KAJIFICHA TANZANIA; SOMA ZAIDI HAPA
MWANAMKE wa nchini Uingereza, Samantha Lewthwaite, anayetuhumiwa kuhusika katika shambulio la kigaidi nchini Kenya hivi karibuni, anadaiwa kujificha hapa nchini, RAI Jumapili linaripoti. Taarifa za Samantha kujificha nchini zimeripotiwa kwa mara ya kwanza j...
Add a comment...

Post has attachment
AUDIO | Stone Wa Kitaa: Song:Kila Nachopenda [They Do Me] | Download
Add a comment...

Post has attachment
P SQUARE KUTIKISA BONGO HAPO NOV 23, 2013; JIPANGE
Kupitia akaunti mbalimbali za East Africa Television, infos zimetoka kuwa P-squares watatua Bongo mwezi Novemba mwaka huu kwa ajili ya show. Hii ni baada ya ziara ndefu ya wanamuziki hao wa Nigeria huko Marekani na Canada.P-square ambao wanatamba hivi sasa ...
Add a comment...

Post has attachment
"UPO SOLO" YA JAYKAH MSANII ITAKUJIA MAPEMA; KAA MKAO WA KULA
JAYKAH MSANII Baada kuachia ngoma yangu ambayo ilijulikana kama KISIRANI ambayo imeshika weng na kilicho ongelewa mle ndani, kwan ni stori iliyowagusa wengi katika mikasa ya maisha yao. Sahivi atarudi tena na ngoma mpya ambayo itajulikana kama UPO SOLO amba...
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
EU YAHOJI: Uko Wapi Uhuru wa Vyombo vya Habari?
Waandamanaji wakiwa wamebeba mabango yanayopinga sheria kandamizi zinazoingilia uhuru wa vyombo vya habari nje ya jengo la Bunge Cape Town, nchini Afrika Kusini mwaka 2011. Nchini Tanzania, magazeti ya Mwananchi na Mtanzania yalifungiwa wiki iliyopita katik...
Add a comment...

Post has attachment
UCHAKACHUZI MKUBWA WA FEDHA HALMASHAURI YA MANISPAA TABORA WABAINISHWA NA KAMATI YA BUNGE
Kamati ya Bunge hesabu za serikali za mitaa ikiwa katika kikao cha pamoja kuhoji utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambapo ilibainika kuwa kuna ubadhirifu mkubwa wa fedha za miradi na hivyo kusababisha kudumaza maendeleo ya halmashauri ya manispaa ya Tabora...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded