Profile cover photo
Profile photo
Baraza la Taifa la Vyuo vya Ufundi (NACTE)
480 followers
480 followers
About
Communities and Collections
View all
Posts

Ask before you enrol as to whether the college is registered and the course is accredited by NACTE
Add a comment...

Baraza linawakumbusha wanafunzi na wenye vyuo wote kuwa sifa za chini kabisa za kujiunga na kozi ya ngazi ya cheti ni pass nne yaani D nne na si vinginevyo. Baraza litawachukulia hatua kali wote wanaoendelea kusajili wanafunzi wasio na sifa bila kufuata taratibu za Baraza.
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded