Profile cover photo
Profile photo
Assenga Oscar
67 followers
67 followers
About
Posts

Post has attachment
DKT. KIJAJI AAGIZA DEREVA ALIYEHAMISHWA KITUO CHA AFYA BITALE KIGOMA KURUDISHWA MARA MOJA
  Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akitoa maagizo kwa
Mkurugenzi wa Wilaya ya Kigoma, kumrudisha Dereva wa gari la Kituo cha Afya cha
Bitale ambaye alihamishiwa katika Ofisi ya Mkurugenzi na kukifanya kituo hicho
kukosa huduma z...
Add a comment...

Post has attachment
DKT. KIJAJI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE MRADI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MSINGI KIGOMA
Benny Mwaipaja, WFM, Kigoma NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, ameiagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Kigoma kufanya uchunguzi na kuchukua hatua baada ya kubaini harufu ya ufisadi katika ujenzi wa vyumba vya madarasa 9 ya shule y...
Add a comment...

Post has attachment
WAZIRI JENISTA MHAGAMA AITAKA CMA KUONGEZA KASI YA UTATUZI WA MIGOGORO YA KIKAZI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama, (kushoto), akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba (wapili kushoto), mara baada ya kufungua mafunz...
Add a comment...

Post has attachment
WAZIRI MWAKYEMBE AITAKA TCRA KUTOA MUONGOZO KWA WENYE VISIMBUZI NCHINI
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa ufafanuzi juu ya visimbuzi visivyoonesha chaneli za ndani mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ...
Add a comment...

Post has attachment
MKUU MPYA WA WILAYA YA HAI AZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI HIYO
Mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya akizungumza kwa mara ya kwanza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya Hai katika ukumbi wa Halmashauri hiyo. Baadhi ya Watumishi katika Halmashauri ya Hai wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa wilaya hiyo alipozungumza nao...
Add a comment...

Post has attachment
MWENYEKITI WA CCM TAIFA, DKT. JOHN MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HLMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
Mwenyekiti wa CCM John Magufuli akisalimiana na makamu mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula na katikati ni Dk.Bashiru Ali Katibu mkuu wa CCMmjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM alipowasili katika ofisi ndogo za chama hicho zilizopo Lumumba jijini Dar...
Add a comment...

Post has attachment
JUMLA YA WANANCHI 2,587 WA KIJIJI CHA LUPEMBELWASENGA WAMEKABIDHIWA HATI MILIKI ZA KIMILA
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Angelina Mabula akikabidhi hati za kimira kwa wananchi wa kijiji cha Lupembelwasenga Wilaya ya Iringa Vijijini mkoani Iringa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Angelina Mabula akiwa na mkuu wa wilaya ya Iring...
Add a comment...

Post has attachment
NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MH. JAPHET HASUNGA AZINDUA JITIHADA ZA TANZANIA KUUNGANA NA NCHI NYINGINE ZA AFRIKA KATIKA KUHIFADHI NA KUENDELEZA HIFADHI ZA MISITU,ULIOFANYIKA MSITU WA KAZIMZUMBWI , KISARAWE-PWANI.
Mh. Japhet Hasunga (MB), Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii pamomoja na Mh. Jokate Mwengelo Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe kwa pamoja wakipanda mti katika uzinduzi wa jitihada za Tanzania kuungana na nchi zengine za Afrika katika kuhifadhi misitu, tukio lililo...
Add a comment...

Post has attachment
KUTONYONYESHA WATOTO MAZIWA YA MAMA PEKEE KWA MIEZI SITA KUMECHANGIA UDUMAVU
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Songwe Dkt. Kheri Kagya akitoa zawadi kwa akina mama wa mfano walioweza kunyonyesha watoto wao maziwa pekee kwa muda wa miezi sita wakati wa maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji yaliyofanyika Halmashauri ya Mji wa Tunduma. . Akin...
Add a comment...

Post has attachment
SERIKALI KUPELEKA WATAALAMU WA UTAFITI WA MIAMBA(GST),MALIASILI NA MAZINGIRA AMANI MUHEZA
NAIBU Waziri wa Madini Dotto Biteko akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja ya kutembelea Hifadhi ya Amani kulia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu kushoto ni Mkuu wa wilaya...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded