Profile cover photo
Profile photo
Dotto Mwaibale
74 followers
74 followers
About
Dotto's posts

Post has attachment
MAGAZETI YA JUMATANO LEO JUNE 28,2017


Post has attachment
SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI
MKUU wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga,Mhandisi Robert Gabriel akizungumza wakati makabidhiano ya vyumba vya madarasa vitano na vyoo ishirini na nne,mradi maji na uzio wa shule ya msingi jitengeni iliyopo Mji mdogo wa Mombo uliofanywa na taasisi isiyo ya ki...

Post has attachment
MKAKATI WA KUBORESHA SEKTA BINAFSI NA KUTUNZA MAZINGIRA WAZINDULIWA RASMI NA MWENGE WA UHURU MKOANI SINGIDA.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akiupokea mwenge wa uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana mapema leo katika kijiji cha Sanza Wilayani Manyoni. Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa Amour Hamad Amour na mkimbizi mwenge ki...

Post has attachment
Rais Magufuli Kufungua Maonesho ya Biashara Sabasaba
Na:  Mwandishi Wetu-MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, anatarajiwa kufungua Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu kama Sababsaba Julai Mosi mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa kwa Vyombo vy...

Post has attachment
MAVUNDE AAHIDI KUZITATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO
Mbunge wa Dodoma mjini, Anthony Mavunde akiwasikiliza wafanyabiashara ndogo ndogo(machinga) katika eneo la ‘One way’. Mbunge wa Dodoma mjini, Anthony Mavunde akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyabiashara katika maduka ya simu barabara ya sita. Mbunge wa D...

Post has attachment
UMMY MWALIMU AMPONGEZA NA KUMSHUKURU RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI
Matukio mbaljmbali zikionyesha matukio wakati wa ugawaji Viuadudu vya  kutokomeza Mbu wa Malaria Mjini kibaha.Pichani ni Waziri Ummy Mwalimu akigawa Viuadudu hivyo kwa Halmashauri kumi na moja Na. Catherine Sungura na Benson Mwaisaka,WAMJW- Kibaha Waziri wa...

Post has attachment
TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA
TAREHE 25.06.2017 MAJIRA YA SAA 16:00HRS KATIKA MTAA WA MKUDI KATA YA NYAMANORO WILAYA YA ILEMELA JIJI NA MKOA WA MWANZA, LUSATO JAMES MIAKA 29, MKAZI WA MTAA WA MKUDI, ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMBAKA MTOTO WA KAKA YAKE JINA TUNALIHIFA...

Post has attachment
MBUNGE KOKA ACHANGIA MILIONI 3 KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI YA WAISLAMU WILAYA YA KIBAHA
Mbunge wa jimbo la Kibaha mjini Silvestry Koka akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu hawapo pichani wakati wa sherehe za  Baraza kuu la waislamu (BAKWATA) Wilaya ya Kibaha kwenye viwanja wa Mwendapole Wilayani Kibaha (PICHA NA VICTOR MASANGU) Naibu She...

Post has attachment
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA ILIYOKUWA BRN NA JOPO LA WATAALAMU WA NISHATI NA MIUNDOMBINU YA MABWAWA YA KUZALISHA UMEME
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea  na watumishi wa iliyokuwa Presidential Delivery Bureau (PDB) waliokuwa wakisimamia utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa ( Big Results Now – BRN   alipokutana nao Ikulu jijini...

Post has attachment
‘Dunia Maridhawa’ ya TBL Group yaendelea kunyanyua wakulima wa Shayiri nchini
Meneja wa TBL kiwanda cha Arusha,Joseph Mwaikasu akimpatia maelezo Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,Dk Charles Tizeba utekelezaji wa kushirkiana na wakulima unavyofanyika . Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,Dk Charles Tizeba(kushoto)akimsikiliza Afisa Ugani ...
Wait while more posts are being loaded