Profile cover photo
Profile photo
Zakayo Nkwera
23 followers
23 followers
About
Zakayo Nkwera's interests
Zakayo Nkwera's posts

Post has attachment
Video ya #Aje ya Alikiba

Post has attachment
Mv Songea tukisafiri usiku mwingi kutoka Songea kwenda Itungi.

Post has attachment
Kijijini pia kuna mlo kamili.

Post has attachment
BREAKING NEWSSS, MATOKEO YA FORM FOUR 2015 HAYA HAPA!
   

Post has attachment
...SHEIN AJIBU MAPIGO, ASEMA ‘JIANDAENI KWA UCHAGUZI’
                      ...SHEIN AJIBU MAPIGO, ASEMA ‘JIANDAENI KWA UCHAGUZI’ Kuna
kila dalili kwamba mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mkwamo wa kisiasa
Zanzibar yamevurugika baada ya wahusika wakuu wa pande mbili, kuzungumza
hadharani na kutoa misimamo to...

Post has attachment
SHIDA YA MAJI VIJINI TANZANIA.
                                              Tabu ya maji kijiji cha Ilota Mbeya Vijijini                 Tatizo la maji Vijijini je Linachangia kwa kiasi gani kudumaza uchumi wa inchi yetu?      Bidhaa ya maji
ni hadimu sana iwe vijijini na hata mjini ka...

Post has attachment
NJAA YAWAKUMBA WAATHIRIKA WA BOMOABOMOA
                                NJAA YAWAKUMBA WAATHIRIKA WA BOMOABOMOA                ❖ Wakazi wa bonde la Mkwajuni Manispaa ya Kinondoni jijini hapa,
waliobomolewa nyumba zao wanaomba msaada wa chakula kutoka kwa wasamaria
wema. ❖ Wakiwa katika vifusi v...

Post has attachment
Breaking News: Matokeo ya darasa la saba yatangazwa leo, Tumekuwekea hapa yote
  ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU

Post has attachment
MUHTASARI WA MAAMUZI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI DHIDI YA RUFAA ZA UBUNGE NA UDIWANI
1. Rufaa za Wabunge Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Wabunge 55 na imeshatolea maamuzi rufaa 42 bado rufaa za Wabunge 13 ambazo vielelezo vyake vinasubiriwa kutoka
kwenye Halmashauri husika. Kulikuwa na Rufaa 16 za Wabunge waliokuwa
wameenguliw...

Post has attachment
UN KUBORESHA VYOO VYA SHULE 10 KILIMANJARO
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na walimu mara
baada ya kuwasili katika shule ya msingi Kiboriloni kwa ajili ya
kushiriki zoezi la kuweka msingi kwenye u...
Wait while more posts are being loaded