Profile

Cover photo
othman maulid
86 followers|112,805,336 views
AboutPostsPhotosYouTube

Stream

othman maulid

Shared publicly  - 
 
Sera ya utoaji msaada wa sheria ipo njiani
Na Haji Nassor, Pemba WIZARA ya Nchi, Afisi ya Rais,
Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imesema iko mbioni kuandaa
sera ya utoaji wa msaada wa kisheria, kufutia haki hiyo kutolewa kwa njia ya
biashara, kama wanavyofanya baadhi ya wanasheria ....
 ·  Translate
1
Add a comment...

othman maulid

Shared publicly  - 
 
Rais Dk Shein awaapisha viongozi mbalimbali Ikulu
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Sira Ubwa Mamboya kuwa Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi (BLM) na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum,katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 23...
 ·  Translate
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Sira Ubwa Mamboya kuwa Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi (BLM) na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum,katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mji...
1
Add a comment...

othman maulid

Shared publicly  - 
 
Rais wa Zanzibar Dk Shein Awaapisha Viongozi Aliowateua.
STATE
HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF
THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE   Zanzibar                                                                                                                         23.1.2017 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindu...
 ·  Translate
1
Add a comment...

othman maulid

Shared publicly  - 
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli Afanya Mazungumzo na Rais wa Uturuki,na Kuhutubia Mkutano wa Wawekezaji na Wafanyabiashara.
Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan na mkewe wakipokea mashada ya maua kutoka kwa watoto walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari  23, 2017 kwa mapokezi rasmi na mazungumzo na mwenyeji wao Rais Dkt John Pombe Magufuli. Rais wa Jam...
 ·  Translate
Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan na mkewe wakipokea mashada ya maua kutoka kwa watoto walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 23, 2017 kwa mapokezi rasmi na mazungumzo na mwenyeji wao Rais Dkt ...
1
Add a comment...

othman maulid

Shared publicly  - 
 
Bongo Tz Magazetini.

1
Add a comment...

othman maulid

Shared publicly  - 
 
Matumizi ya Bioteknolojia ya Kisasa katika Kilimo ni Ukombozi kwa Wakulima na Taifa kwa Ujumla.
  Watafiti wakiwa lango kuu la kuingia katika   shamba la jaribio la mahindi yaliyoboreshwa kwa kutumia Teknolojia ya uhandisi jeni (GMO), chini ya mradi wa Wema katika Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Makutupora mjini Dodoma. Watafiti hao walikuwa wameongoz...
 ·  Translate
Watafiti wakiwa lango kuu la kuingia katika shamba la jaribio la mahindi yaliyoboreshwa kwa kutumia Teknolojia ya uhandisi jeni (GMO), chini ya mradi wa Wema katika Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Makutupora mjini Dodoma. Wa...
1
Add a comment...

othman maulid

Shared publicly  - 
 
Tanzania na Uturuki zasaini mikataba tisa ya maendeleo
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mazungumzo na mgeni wake Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan (kulia) Ikulu leo jijini Dar es Salaam.   Rais wa Uturuki Recep Tayyip E...
 ·  Translate
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mazungumzo na mgeni wake Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan (kulia) Ikulu leo jijini Dar es Salaam. ...
1
Add a comment...

othman maulid

Shared publicly  - 
 
Yaliojiri Wakati wa Kutangazwa Mshindi wa Uchaguzi Mdogo Jimbo la Dimani Zanzibar.
 Msimamizi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa NEC Wilaya ya Magharibi Unguja Bi Fatma Gharib akitangaza matokea ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Dimani Zanzibar katika Ofisi za Tume zilioko katika Skuli ya Sekondari Kiembesamaki Zanzibar baada ya kukamilika taratibu...
 ·  Translate
Msimamizi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa NEC Wilaya ya Magharibi Unguja Bi Fatma Gharib akitangaza matokea ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Dimani Zanzibar katika Ofisi za Tume zilioko katika Skuli ya Sekondari Kiembesamaki Zanzib...
1
Add a comment...

othman maulid

Shared publicly  - 
 
Kamati ya Taifa ya Matumizi ya Bioteknolojia Salama Yaridhishwa na Utafiti wa Mahindi Katika Kituo cha Makutupora Mkoani Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Matumizi Salama ya Bioteknolojia (NBC), waandishi wa habari na watafiti wakielekea ukumbuni walipowasili Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Kanda ya Kati Makutupora mkoani Dodoma leo asubuhi kuangalia shamba la majaribio la mahind...
 ·  Translate
Wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Matumizi Salama ya Bioteknolojia (NBC), waandishi wa habari na watafiti wakielekea ukumbuni walipowasili Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Kanda ya Kati Makutupora mkoani Dodoma leo asubuhi kuangal...
1
Add a comment...

othman maulid

Shared publicly  - 
 
Rais wa Zanzibar Dk Shein Awaapisha Washauri wa Rais, Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Naibu Katibu Mkuu Ikulu leo.
    Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Dr. Sira Ubwa Mamboya   Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Dr. Sira Ubwa Mamboya   Mshauri wa Rais Masuala ya Maendeleo ya Jamii Wazee Wanawake na Watoto Mhe Zainab Omar Mohammed   Mshauri wa Rais Masuala ya Maendeleo ya Jamii W...
 ·  Translate
Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Dr. Sira Ubwa Mamboya Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Dr. Sira Ubwa Mamboya Mshauri wa Rais Masuala ya Maendeleo ya Jamii Wazee Wanawake na Watoto Mhe Zainab Omar Mohammed Mshauri wa Rais ...
1
Add a comment...

othman maulid

Shared publicly  - 
 
Mgombea Ubunge Katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Dimani Aibuka Kidedea kwa Ushindi wa Kura Nyingi.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Dimani Zanzibar Ndg Ali Juma Ali ameibuka mshinda katika uchaguzi huo uliofanyika jamapili 22-1-2017 kwa ushindi wa Kura 4,860, kuwa mshindi katika uchaguzi huo Mdogo wa Jimbo la Dimani kufuatia kwa Kifo cha ...
 ·  Translate
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Dimani Zanzibar Ndg Ali Juma Ali ameibuka mshinda katika uchaguzi huo uliofanyika jamapili 22-1-2017 kwa ushindi wa Kura 4,860, kuwa mshindi katika uchaguzi huo Mdogo wa Jimbo ...
1
Add a comment...

othman maulid

Shared publicly  - 
 
Naibu Waziri Mhe. Masauni Atembelea Gereza la Ruanda Jijini Mbeya.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiongozana na Mkuu wa Jeshi la Magereza jijini
Mbeya Kamishna Msaidizi Paul Kajida (kulia) wakati alipowasili kukagua shughuli
za uzalishaji thamani za ndani na sabuni katika gereza l...
 ·  Translate
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiongozana na Mkuu wa Jeshi la Magereza jijini Mbeya Kamishna Msaidizi Paul Kajida (kulia) wakati alipowasili kukagua shughuli za uzalishaji thamani za...
1
Add a comment...
Basic Information
Gender
Male
Links
Contributor to