Profile cover photo
Profile photo
AGRIPA ELIREHEMA
52 followers
52 followers
About
AGRIPA's posts

Post has attachment

Post has attachment
**


Post has attachment
DALILI ZA KIPINDUPINDU
  ♥   Kuharisha   mfululizo au mara kwa mara bila tumbo kuuma
ambako kunaweza kuambatana na kutapika ♥   Kinyesi au
matapishi huwa ya majimaji yasiyo na harufu, yanayofanana na maji yaliyooshewa
mchele ♥   Kusikia kiu sana,
macho kudidimia na ngozi kusinyaa...

Post has attachment
ATHARI ZA KUTOTUMIA DAWA KAMA ILIVYOELEKEZWA NA DAKTARI/MTAALAMU WA AFYA.
Tafiti mbalimbali zimeonyesha kwamba watu wengi hawatumii
dawa (dozi) kama inavyotakiwa. Hii ni kutokana na sababu zifuatazo: -       Kupata
nafuu ya ugonjwa kabla ya kumaliza dawa alizoandikiwa na daktari. -       Umri:
wazee na watoto kwa kawaida walio we...

Post has attachment
WHY SMOKING WHEN YOU DRINK ALCOHOL
According to the Medical Daily Reports, scientists have
discovered the reason   why people   become social smokers while drinking alcohol. Researchers
at the University of Missouri believe that people crave the effects of
nicotine- (which is a chemical foun...

Post has attachment

Post has attachment
THINGS TO DO/NOT TO DO TO YOUR CHILD
According to pediatrics instructions usisite ku LIKE kwenye ukurasa wetu wa facebook BWAMBO HEALTH FARM kwa maoni au ushauri tuandikie agripambwamboo@gmail.com 0716648735/0688648735

Post has attachment

Post has attachment
JIKINGE NA KIPINDUPINDU KAMA HIVI
1.    Tumia
maji safi na salama katika; -          Kunywa -          Kupigia mswaki -          Kutengenezea barafu( kwa wale wafanya
biashara au hata kwa matumizi ya nyumbani) -          Osha vyombo vya kulia chakula kwa maji safi
na salama. Tena vikauke ka...

Post has attachment
JE DALILI ZA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB) NI ZIPI?
Kifua kikuu(TB )ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria
anaejulikana kwa jina la Mycobacterium tuberculosis. Mycobacterium tuberculosis ni aina ya bacteria
anaesababisha TB kwa binadamu….ingawa zipo jamii zingine za Mycobacterium
zinazoweza pia kusababisha TB...
Wait while more posts are being loaded