Profile cover photo
Profile photo
TTCL-Tanzania Telecommunication Company Limited
206 followers -
The largest and leading fixed line telecommunications company in Tanzania.
The largest and leading fixed line telecommunications company in Tanzania.

206 followers
About
Posts

Post has attachment
Kamati ya PIC Yaitaka Serikali Kuisaidia TTCL Ijiendeshe Kibiashara
  Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), Bi. Lolencia Bukwimba (Mbunge wa Busanda) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kukutana na kujadili taarifa za Kampuni ya Simu nchini (TTCL) leo jijini...
Add a comment...

Post has attachment
Serikali na TTCL Kumiliki Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano Pamoja
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akiweka saini kitabu cha Wageni alipotembelea ofisi za Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Kigoma. Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoani Kigoma wakimsikiliza Waz...
Add a comment...

Post has attachment
Waziri Profesa Mbarawa Aipongeza Kampuni ya TTCL
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akisalimiana na wafanyakazi wa TTCL mkoa wa Morogoro. Mkuu wa Biasahara Kanda, Nyanda za Juu Kusini Juvenal Utafu akitoa maelezo kuhusu utendaji kazi wa TTCL mbele ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi...
Add a comment...

Post has attachment
VIDEO CONFERENCE OR TELECONFERENCE SERVICE.
 A video conference or video teleconference is a telecommunication service which allows face to face interaction among groups of people and companies located in different towns or cities. It is designed to serve a conference rather than individuals.Video co...
Add a comment...

Post has attachment
TTCL YATOA ZAWADI YA MWAKA MPYA KWA VITUO VYA YATIMA DAR ES SALAAM.
  Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura akikabidhi sehemu ya msaada kwa baadhi ya watoto kutoka Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magu...
Add a comment...

Post has attachment
TTCL YAKOPA DOLA MILIONI 22 KUSAMBAZA MTANDAO 3G NA 4G LTE.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Uwekezaji (TIB), Jaffer Machano mara baada ya kutiliana saini. TTCL na TIB zimesaini...
Add a comment...

Post has attachment
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UFAFANUZI WA TAARIFA ZA MIFUMO YA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA TTCL KUVAMIWA NA WADUKUZI.
Nicodemus Mushi, Meneja Uhusiano TTCL Jumanne, Februari
16, 2016, Katika Website ya Soft Pedia kulichapishwa taarifa kuwa Mifumo ya
Mawasiliano ya Kampuni ya Simu Tanzania TTCL imevamiwa na Wadukuzi na kwamba
taarifa za siri za Kampuni ya TTCL na wateja wak...
Add a comment...

Post has attachment
TTCL YAZINDUA TEKNOLOJIA YA 4G LTE
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) na Ofisa Ufundi (IT) wa kampuni hiyo, Rehema Maswanya (kulia) kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria uzinduzi wa  teknolojia ya 4G LTE iliyozinduliwa leo jijini Da...
TTCL YAZINDUA TEKNOLOJIA YA 4G LTE
TTCL YAZINDUA TEKNOLOJIA YA 4G LTE
ttcltanzania.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
TTCL WAITUIMIA 9 DESEMBA KUSAFISHA SOKO LA TEMEKE STEREO.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakishusha vifaa vya kufanyia usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desem...
Add a comment...

Post has attachment
**
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi akizungumza na vyombo vya habari Makao Makuu ya TTCL jijini Dar es Salaam kujibu madai ya TEWUTA KAMPUNI  ya Simu Tanzania (TTCL) imepinga madai yaliyotolewa na Chama cha Wafanyakazi wa Sek...
TTCL
TTCL
ttcltanzania.blogspot.com
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded