Profile cover photo
Profile photo
Yusuph Mcharia
122 followers
122 followers
About
Yusuph's posts

Post has attachment

Post has attachment
HII NDIO NDEGE HATARI ZAIDI YA KIVITA DUNIANI
B-2 bomber ndio ndege hatari zaidi ya kivita kuwahi kutengenezwa duniani, ndege hii hujulikana sana kwa jina la (Popo) kwa sababu inafanana na popo kiumbo. Ilianza kutengenezwa kipindi cha vita baridi na utengenezaji wake ulitunzwa kwa siri kubwa ambayo hai...

Post has attachment

Post has attachment
SHUKRANI MUNGU KWA ZAWADI HII YA MAISHA KTK SIKU YANGU YA KUZALIWA
LEO TAREHE 7 SEPTEMBA NI MAPENZI YA MUNGU KUNIFIKISHA KATIKA TAREHE NA MWEZI NILIOZALIWA NA SASA NIMETIMIZIA MIAKA
ZAIDI. NICHUKUE FURSA HII KUWAKUMBUKA KWA KUWASHUKURU WALIOTENDA YALIYOTENDEKA. ​ Si mnakumbuka mapitio ya udogoni, kucheza
pamoja, kukaa pamo...

Post has attachment

Post has attachment
JE UMESHASIKIA KUHUSU SMARTPHONE MPYA?
Kutana na TURING ya CADENZA,
hakuna smartphone duniani kama hii. Smartphone Hii ni mama na baba yao wote na
12GB ya RAM na 2 Snapdragan 830 SoCs. Fikiria smartphone iliyo na
Snapdragon mbili 830 SoCs , 12GB ya RAM , kamera ya mbele ni 12MP, na 60MP kwa
kame...

Post has attachment

Post has attachment
UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME:
01. Kwenye mshituko; mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua. 02. Kwenye kupenda; mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila k...

Post has attachment

Post has attachment
NAMNA YA KUTAMBUA TABIA YA MTU
Hakuna anayependa kusahihishwa, kugombana au kukemewa mbele za watu, hii
ndiyo tabia ya watu wajeuri na walio na tabia za kitukutu. Mara
nyingine hudhani wanapata sifa. Wako watu wa jinsi hii ambao hawawezi
kukugombeza au (kukupa vidonge vyako) mkiwa waw...
Wait while more posts are being loaded