Profile cover photo
Profile photo
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
60 followers
60 followers
About
Posts

Post has attachment
WAZIRI MWIGULU AKUTANA NA NAIBU BALOZI WA MAREKANI
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa
la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (aliyembeba mtoto) na Katibu wa
Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga (kulia)
wakiwa na baadhi ...
Add a comment...

Post has attachment
WAZIRI MWIGULU AKUTANA NA NAIBU BALOZI WA MAREKANI
Na   Abubakari
Akida Waziri wa Wizara ya Mambo ya   Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba   amekutana na Naibu Balozi wa Marekani nchini,
Dk. Imn Patterson ikiwa ni juhudi za Serikali ya   Jamhuri ya Muungano wa Tanzania   kuhusisha wadau mbalimbali katika masuala ...
Add a comment...

Post has attachment
MASAUNI, MKUU WA WILAYA MUHEZA WAFANYA OPARESHENI USIKU KUWASAKA WAHALIFU MSITU WA AMANI MKOANI TANGA
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni (aliyevaa Kaunda suti), akiongozwa na Afisa Tarafa ya Amani,
wilayani Muheza, Ayubu Mhina kumuonyesha eneo la Kihara ambalo ni chanzo cha
maji cha Mto Zigi ambalo linasambaza maji sehemu kubwa y...
Add a comment...

Post has attachment
Masauni aliagiza Jeshi la Polisi kufungua kituo makazi ya kabila la Wahazabe
Na Mwandishi Wetu. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni amelitaka Jeshi la Polisi mkoani Manyara kufungua Kituo cha
Polisi katika Makazi ya Kabila la Wahazabe wanaoishi katika Bonde la Yueda
Chini, wilayani Mbulu. Masauni alisema h...
Add a comment...

Post has attachment
MASAUNI AWATAKA MAAFISA UHAMIAJI, POLISI KUONGEZA KASI KUCHUNGUZA NA KUWAKAMATA WAHAMIAJI HARAMU TANGA
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni akimfafanulia jambo Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela (kulia)
kabla ya kiongozi huyo kuanza ziara yake mkoani humo. Katika mazungumzo yao
ambayo yalifanyika ofisini kwa Mkuu wa Mkoa huyo, M...
Add a comment...

Post has attachment
MASAUNI ALIAGIZA JESHI LA POLISI KUFUNGUA KITUO MAKAZI YA KABILA LA WAHAZABE
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni (watatu kushoto) na Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Flatei
Massay (wapili kulia) wakicheza ngoma ya Wabarbaig/Watatoga kabla ya Masauni
kuzungumza na mamia ya wananchi wa Kabila maarufu la Wa...
Add a comment...

Post has attachment
MASAUNI APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA TEHAMA KWA AJILI YA CHUO CHA UHAMIAJI CHA KIKANDA (TRITA), MJINI MOSHI
Naibu Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akipokelewa na Kamishna
Jenerali wa Uhamiaji (CGI), Dkt. Anna Makakala, wakati kiongozi huyo alipokua
anawasili Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda (TRITA), mjini Moshi kwa ajili ya kukabidhiw...
Add a comment...

Post has attachment
WAZIRI MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA MKUU WA MAMLAKA YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA, JIJINI DAR
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na Kamishna Mkuu
wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Rogers Sianga,
wakati Kamishna huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa
lengo la ku...
Add a comment...

Post has attachment
WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AFANYA MZUNGUMZO NA KIONGOZI WA KIKOSI CHA MIPAKA WA NCHINI UINGEREZA
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na Kiongozi wa
Kikosi cha Mipaka kutoka nchini Uingereza, Richard Lloyd, wakati kiongozi huyo
na ujumbe wake walipomtembelea Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo, kwa
lengo la kujad...
Add a comment...

Post has attachment
KAMISHNA WA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA NCHINI AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MASAUNI, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akizungumza na
Kamishna wa Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga, wakati Kamishna huyo
alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili
masuala mbalimb...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded