Profile cover photo
Profile photo
Grace Mkojera
7 followers
7 followers
About
Posts

Post has attachment
Deadline approaching: Fact-checking fellowship in Kenya [Africa]
Professionals with experience in data visualizations and user-centered design can apply for this position in Nairobi, Kenya. Code for Kenya  and the  International Budget Partnership Kenya  (IBPK) seek
candidates for a one-year fellowship to fact check the...
Add a comment...

Post has attachment
NYU offers journalism fellowship [Worldwide]
 IJNET Journalists with at least two years of experience and fluency in
English and at least one other language can apply for a fellowship in
New York.  The Arthur L. Carter Journalism Institute at New York University (NYU) is seeking applications for the...
Add a comment...

Post has attachment
Kili Stars yatolewa Chalenji
Na Mwandishi Wetu TIMU ya Taifa  Kilimanjaro Stars imetolewa katika Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati,
CECAFA Challenge baada ya kufungwa kwa penalti 4-3 dhidi ya wenyeji Ethiopia baada ya  kucheza dakika 90 na kupata  sare ya bao 1-1.   Katika
...
Add a comment...

Post has attachment
U 15 yakabidhiwa bendera
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15) jana ilikabidhiwa bendera ya Taifa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel katika
hosteli za TFF zilizopo Karume jijini Dar es salaam. Akiong...
U 15 yakabidhiwa bendera
U 15 yakabidhiwa bendera
mkojera.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
Michuano ya Mitumbwi Mwanza yaiva
Meneja Mauzo na Usambazaji waKampuniya Bia Tanzania
(TBL) Kanda yaZiwa, Godwin Zakaria (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha
MitumbwikandayaZiwa, Richard Mgabo, moja ya vikombe vitakavyoshindaniwa katika mashindano
ya  mbio za Mitumbwi   wakati wa uzi...
Add a comment...

Post has attachment
Matokeo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
MATOKEO LIGI YA MABINGWA ULAYA JANA FC Porto 2 - 0 Maccabi Tel Aviv Dynamo Kyiv 0 - 0 Chelsea Valencia CF 2 - 1 KAA Gent Zenit St Petersburg 3 - 1 Lyon Bayer 04 Leverkusen 4 - 4 Roma BATE Borisov 0 - 2 Barcelona Arsenal 2 - 0 FC Bayern Munchen Dinamo Zagreb...
Add a comment...

Post has attachment
Yaya Toure kushindania tuzo kuu ya soka duniani
 BBC SWAHILI   Wachezaji watatu wa Manchester City
Sergio Aguero, Kevin De Bruyne na Yaya Toure ni miongoni wa wachezaji 23
walioorodheshwa kushindania tuzo ya Ballon d'Or. Kiungo wa
Chelsea Eden Hazard na mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez pia wamo ...
Add a comment...

Post has attachment
Raundi ya 11 ya Ligi Kuu kuchezwa Desemba 12
    Mechi za raundi ya 11 za Ligi Kuu ya Vodacom zilizokuwa zichezwe
Novemba 7 na 8 mwaka huu sasa zitafanyika Desemba 12 na 13 kupisha
maandalizi ya Taifa Stars ya mechi za mchujo za Kombe la Dunia. Taifa Stars inatarajia kuingia kambini mapema mwezi uja...
Add a comment...

Post has attachment
Ligi Kuu ya Vodacom kuendelea kesho
Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) inatarajiwa kuendelea kesho
Jumatano kwa michezo minne kuchezwa katika viwanja tofauti nchini, huku
timu 8 zikisaka kupata pointi tatu muhimu. Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Young Africans watawakaribisha
Toto Afr...
Add a comment...

Post has attachment
Kiiza mchezaji bora wa Septemba
Hamis Kiiza Mshambuliaji wa timu ya Simba, Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.  Kwa kuibuka mchezaji bora, Kiiza atazawadiwa sh. milioni moja kutoka kwa mdhamini wa Ligi hiyo, kampuni ya Vodacom. Kiiza ambaye ameisadi...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded