Profile cover photo
Profile photo
Swahili Villa
226 followers
226 followers
About
Posts

Post has attachment
Lema awa Mbogo Bungeni, akabiliana na Naibu Spika na Wabunge wa CCM
Add a comment...

Post has attachment
LIVE: May answers PMQs in House of Commons ahead of special Brexit meeting
UK Prime Minister Theresa May answers questions in the House of Commons in London on Wednesday, November 14, ahead of a special cabinet meeting on Brexit. The meeting is held after a draft deal was reached between UK and EU negotiators. If the cabinet agree...
Add a comment...

Post has attachment
KENYA: WABUNGE WAIBUA MASWALI KUHUSU MPANGO WA AFYA KWA WOTE
Na CHARLES WASONGA. NAIROBI, Kenya WABUNGE wameelezea kutoridhishwa kwao na matayarisho kuelekea utekelezaji wa mpango wa Afya kwa Wote (UHC) katika kaunti nne nchini Desemba 2018. Waziri wa Afya, Sicily Kanini Kariuki katika picha hii ya Desemba 13, 2017, ...
Add a comment...

Post has attachment
Trump picks retired general John Abizaid as US ambassador to Saudi Arabia
AFP, WashingtonWednesday, 14 November 2018  President Donald Trump on Tuesday tapped John Abizaid, a top US general from the Iraq war who has studied the Middle East for years, as ambassador to Saudi Arabia. Abizaid is a fluent Arabic speaker of Lebanese Ch...
Add a comment...

Post has attachment
Katika sakata la korosho, magari 70 ya JWTZ yaelekea Kusini
Magari 70 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania - JWTZ yaondoka jijini Dar es salaam kuelekea mikoa ya kusini. Ni kufuatia agizo la Rais John Magufuli la kulitaka jeshi hilo kubeba korosho itakayonunuliwa ma serikali kutoka mikoa hiyo.
Add a comment...

Post has attachment
UNHCR: Watu milioni 12 duniani hawana utaifa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi , UNHCR limesema kuna watu milioni 12 kote duniani ambao hawana utaifa. Kwa mintarafu hiyo UNHCR inapigia debe Kampeni ya #I Belong au yaani 'mimi ni wa', ikitimiza miaka minne mwezi huu wa Novemba. Kwa ...
Add a comment...

Post has attachment
Egypt calls on Israel to end military action in Gaza
Egypt on Tuesday called on Israel to end its military action in Gaza, after Palestinian militants in the enclave agreed to a Cairo-brokered ceasefire to halt the spike in violence. Following the most severe flare-up between the two sides since 2014, Egypt "...
Add a comment...

Post has attachment
Magufuli angalia! Keti Na Popcorn Ufurahie! Tundu Lissu alivyovunjwa Vunjwa!
Kama Yanavyosema Maandiko, Walinitoboa Mikono Na Miguu Wakahesabu Mifupa yangu Yote. Niliwakosea Nini? Waliolifikisha Taifa Hili hapa lilipo tangu Miaka ya Tisini, Wezi wakubwa, Waliouza Nchi Kwenye Kikapu, Ati wanampiga Mzalendo aliyelitetea Taifa Maisha y...
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
BREAKING: Rostam Aziz Atinga kwa JPM Leo
Rais Dkt John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara Rostam Aziz, leo Novemba 13, 2018, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded