Profile cover photo
Profile photo
pascal absalom
51 followers
51 followers
About
Posts

Post has attachment
Rayvanny - Unaibiwa ( Official Video music )

Post has attachment
Kevin De Bruyne amjaza kiburi Pep Guardiola
Meneja wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amemsifia
bila kificho kiungo Kevin De Bruyne, kufuatia kazi nzuri aliyoionyesha
usiku wa kuamkia leo wakati wa mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya
dhidi ya  Feyenoord. Guardiola alimwagia sifa kiungo ...

Post has attachment
Lema: Lissu bado yupo ICU
  Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema kuwa hali ya
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu sasa inaendelea vizuri
ukilinganisha na hali ilivyokuwa hapo awali ingawa bado yupo ICU. Ameyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na BBC ambapo amed...

Post has attachment
“Tanzania ipo Salama na Imara” – Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  amekutana na Balozi wa Iran. Mousa Farhang nakufanya  mazungumzo ya kikazi leo Septemba 13/2017.Ofisini kwake Magogoni Dar es salaam.   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania ipo salama na imara na kwamba mtu yeyote atakay...

Post has attachment
CUF inahitaji maombi- Kumbilamoto
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omari Kumbilamoto amesema kuwa anasikitishwa na chama chake kwani kinakatisha tamaa kutokana na mgogoro unaoendelea hivyo amewaomba wanahabari kutumia weledi na ushawishi ili kutatua mgogoro huo. Kumbilamoto ambaye pia ni Di...

Post has attachment
Haya hapa magazeti ya leo Alhamisi Septemba 14, 2017

Post has attachment
Mugabe amzuia msanii wa kike kuingia Zimbabwe kwa kutovaa nguo za ndani
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ameripotiwa kumpiga marufuku
mtumbuizaji wa kike wa Afrika Kusini, Zodwa Wabantu kutumbuiza nchini
humo kutokana na tabia yake ya kupanda jukwani bila kuvaa nguo za ndani. Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada...

Post has attachment
Bunge laziunganisha TRL na RAHCO
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha muswada
wa sheria ya reli ya mwaka 2017 (The Railways Act, 2017) ambao
unapendekeza kuanzisha Shirika la Reli Tanzania (TRC) litakalokuwa na
jukumu la kusimamia, kuendeleza miundombinu ya reli na kutoa...

Post has attachment
Lady Jay Dee amvuta tena Justin Campos
   Msanii Lady Jay Dee amvuta tena kwa mara nyingine muongozaji
wa video kutoka nchini Afrika ya kusini ‘Justin Campos’ katika nyimbo
yake mpya ya ‘I Miss You’ ambaye ndio ameifanya video ya wimbo huo. Lady jay Dee ameeleza kuwa video yake ya nyimbo ya I ...

Post has attachment
Petr Cech awataka wenzake kupambana kama Chelsea
Mlinda mlango wa Arsenal Petr Cech, ambaye aliwahi kutwaa
ubingwa wa Europa league akiwa na Chelsea, amewataka wachezaji wenzake
kupambana kufa na kupona ili kufanikisha mpango wa kufanya vyema kupitia
michuano hiyo ya barani Ulaya. Amesema: “Tunapaswa k...
Wait while more posts are being loaded