Profile cover photo
Profile photo
Reginald Libent
49 followers -
Mwanza, Tanzania
Mwanza, Tanzania

49 followers
About
Posts

HOW TO TRACE FACEBOOK PROFILE VISITORS:

Now here we found who recently visited your profile page

Follow this steps bellow:

1. Go to your Facebook Profile Page.

2. Now pres Ctrl+U from your keyboard to see source code of your profile page.

3. Now press Ctrl+F from your keyboard to open Search Box.

4. Now search this code {"list":

5. You find some Facebook Profile Ids are like shown below

6. There are some Facebook Profile IDS of your friends who visited recently.

7. The first one ID's are showing visits the most number of time.

8. Now if you want to find out, open a new tab
Enter below link: www.Facebook.com/facebook Profile Id For Example: www.facebook.com/100001257992988
Add a comment...

JINSI YA KUTAFUTA KEY ZA SOFTWARE AU APPLICATION YA AINA YOYOTE:

HATUA YA 1

Fungua www.google.com ukisha fungua nenda pale pa kutafutia kitu [search] kisha andika jina la software unayotaka KEY zake ikifuatiwa na 94fbr kwa mfano mimi natafuta key za IDM kwa hiyo nitaandika kama hivi "IDM 94fbr" kisha utabofya Search.

HATUA YA 2

Baada ya hapo itafunguka utabofya kwenye website au blog mojawapo zilizofunguka na ndani yake utazikuta hizo key.

ANGALIZO:
Pindi unapoziweka hizo key basi usiwe umeunganisha computer yako kwa Internet kwani kuna baadhi ya software ukiwa umeunganisha COMPUTER yako na Internet halafu ukaweka hizo KEY katika software yako haziwezi kukubali, hivyo zingatia hilo jambo.

BY MASTER KEYS
Add a comment...

HOW TO CHECK IF YOUR FACEBOOK ACCOUNT IS HACKED OR NOT:

Simply type on the cmments the following code.

1. FIRST STEP: @[*4:0]

2. SECOND STEP: Remove this sign *

3. THIRD STEP: Click comment

If your phone write MARK ZUCKERBERG, then your device i still safe. but if it writes something else then you have been hacked.
Add a comment...

TYPES OF HACKERS:

1ETHICAL HACKER
(White Hat): A hacker who gains access to system with a view to fix the identified weaknesses. They may also perform penetration testing and vulnerability assessments.

2. CRACKER (BLACK HAT)
A hacker who gains unauthorized access to computer system for personal gain. The intent is usually to steal corporate privacy rights, transfer funds from bank accounts etc.

3. GREY HAT
A hacker who is in between ethical and black hat hackers. He/she breaks into computer systems wihout authority with a view to identiffy weaknesses and reveal them to the systen owner.

4. SCRIPT KIDDIES:
A non-skilled person who gains access to computer system using already made tools/softwares.

5. HACKTIVIST:
A hacker who use hacking to sendsocial, religious, and political message, etc.
This usually done by hijacking websites and leaving the message on the hijacked website.

6. PHREAKER:
A hacker who identifies and exploits weaknesses in telephones instead of computers.
Add a comment...

JINSI YA KUFUFUA MEMORY CARD NA FLASH ZILIZOKUFA:

1. Chomeka FLASH kwenye computer yako, Nenda kwenye icon iliyoandikwa MY COMPUTER kisha bofya kibonyezeo cha kulia kwenye mouse/kipanya yako kisha chagua MANAGE

2. Baada ya hapo chagua DISK MANAGEMENT iliyoko upande wa kushoto chini kidogo, chagua FLASH au MEMORY CARD unayotaka kurekebisha au kufufua, kisha bofya kibonyezeo cha kulia kwenye MOUSE yako na chagua "CHANGE DRIVERS LETTERS AND PATHS"

3. Baada ya hapo chagua herufi kwenye LIST inayoonekana upande wa kulia hakikisha unachagua HERUFI ambayo haitumiki au haijatumika kwenye COMPUTER yako.

4. Baada ya hapo bofya OKAY kisha hapo utaona FLASH DRIVE yako au MEMORY CARD yako imerudi kuonekana kama kawaida.

BY XHEBBY
Add a comment...

SHERIA ZA GOOGLE ADS ZA KUJIPATIA PESA KUPITIA BLOG:

Zijue sheria za uwekaji "google ads" katika blog yako ili kujipatia pesa.

"GOOGLE ADS" ni nini?

=› Ni mfumo wa Google unaohusika na matangazo ya kibiashara katika mtandao wa Internet kupitia tovuti na blogs.

Google Ads huwa inatoa nafasi katika sehemu mbali mbali, kama vile mitandao ya kijamii, blogs, websites, etc.
Lakini sheria huwa zinatofautiana kulingana na sehemu unapotaka kunipatia pesa kutokana na shirika hilo.

SHERIA ZA GOOGLE ADS
*Blog yako ifanye kazi ndani ya miezi sita.
*Uwe umefikisha miaka 18.
*Post zako zote katika blog yako ziwe na lugha ya kiingereza.
*Blog yako iwe hai.
*Uwe na Master Card ya bank {kwa ajili ya malipo}

JINSI WATAKAVYO KULIPA:

Kwa blog, Google ads watakulipa pesa kutokana na idadi ya watu wanao ingia kila siku katika blog yako baada ya kuweka matangazo yao ya biashara ndani ya blog yako, watu wakiingia wengi katika blog yako basi wewe pesa ndivyo inavyozidi kuongezeka.

USHAURI:
Kwa ushauri wangu kama utahitaji kuweka google ads katika blog yako basi usinunue "Domain name" mpaka utakapoona matangazo ya biashara wameanza kuweka ndani ya blog yako.

BY MASTER KEYS
Add a comment...

FAIDA ZA KUGAWANYA HARD DISK KWENYE COMPUTER/LAPTOP YAKO:

1. Kuweka operatingsystem zaidi ya moja (program endeshi)·

2. Ina rahisisha kupata kwa urahisi taarifa zako.

3. Ina saidia kutunza taarifa zako endapo operating sytem (windows) itaharibika.
Add a comment...

JINSI YA KU-HACK/KUONGEZA KASI YA INTERNET KWA KUTUMIA DNS

Unaweza kuongeza kasi ya Internet kwa kutumia "DNS" ukifanya hacking hii ya DNS katika mdahalishi wako ili kuongeza kasi ya Internet, Itaongeza kasi ya Internet kwa asilimia 20-30.

DNS ni nini?
=› Ni "Domain Name Server", hicho ndicho kirefu cha DNS.

DNS hii inabadilisha IP Address kwenda kwenye Domain Address, DNs designed ni automatically ina badilisha alphabet worlds kwenda kwenye Respective IP Address na pia inaongeza kasi ya asilimia 20-30 ukifanya hacking katika mdahalishi wako.

HATUA ZA KUONGEZA KASI KATIKA MDAHALISHI WAKO:

1. Nenda katika " control panel" ya mdahalishi wako, kisha bofya kwenye "NETWORK" AND "SHARING CENTRE".

2. Ikisha funguka angalia juu ya mkono wako wa kushoto utaona neno limeandikwa " CHANGE ADAPTER SETTING" bofya hapo na ufungue.

3. Ikishafunguka angalia neno lililoandikwa "INTERNET CONNECTION" kisha bofya right click fungua PROPERTIES.

4. Ikishafunguka bofya neno "Internet Protocol Version 4 (TCP/IPV4)"
bofya weka kivuli, fungua "PROPERTIES" Ukisha open hapo utaona IP ADDRESS za mdahalishi wako zifute, kisha weka 208. 67. 222. 222
*Pale palipoandikwa "PREFERRED DNS SERVER" utakuta IP Address zifute, kisha ingiza zifuatazo 208. 67. 222. 222

*Kisha angalia chini yake utaona neno limeandikwa "Alternate DNS Server" kisha utakuta IP Address, zifute, kisha weka 208. 67. 222. 222

5. Kisha angalia kwa chini utaona neno "OKAY" bofya neno hilo kisha, angalia neno lililoandikwa "CONFIGURE IPV6" bofya weka kivuli kisha fungua "PROPERTIES" kisha utaona maneno yafuatayo

*PREFERRED DNS SERVER futa zile ulizozikuta kisha, weka zifuatazo 2620: 0 ccc : 2
Ukisha weka hizo angalia kwa chini yake kuna neno limeandikwa
*"Alternate DNS Server" utakuta IP Address zifute, kisha weka 2620 : 0 : ccd : : 2 kisha bofya okay

6. Ukisha bofya tena okay ili ku-save mpangilio wako ulioweka hapo, hacking ya kasi ya mdahalishi wako itaongezeka.
Add a comment...

HOW TO INCREASE INTERNET SPEED BY USING COMMAND PROMPT:

Things you need:-
1. Windows 7, 8, 10
2. Little bit Patience

FIRST METHOD:
In command prompt type the following and hit enter: ipconfig/flushdns

SECOND METHOD:
Step 1:
In command prompt type IPconfig and hit enter and then copy the default gateway.

Step 2:
Now type ping-t (Default Gateway) and hit enter For Example, my Default Gateway is 123. 456. 78. 910 then i will type ping-t 123. 456. 78. 910

NOTE:
After executing the command don't close the command window, simply minimize it and use the internet.
Add a comment...

JINSI YA KUIFANYA MODEM YAKO ITUMIE MTANDAO WOWOTE BILA KUI-UNLOCK:

FUATA HATUA HIZI

1. Chomeka modem na simcard isiyokuwa ya mtandao wa simu yako, kisha itakwambia, "invalid sim", ignore hiyo messaje kisha funga software ya modem.

2. Download software iitwayo " Nokia PC Suite", kisha ifanyie installation katika computer yako.

3. Kisha fungua Noia PC Suite vizuri uwe na latest version, halafu bofya pale pa kuunganishia na internet (one touch access) utaona tab ita pop-up halafu bofya configure halafu chagua modem yako mfano (ZTE 202) click okay.

Sasa unganisha na internet bila ku-unlock modem yako.
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded