Profile

Cover photo
Charles Nyangiti
Works at National Bureau of Statistics
Attended Gilman Rutihinda
6 followers|8,660 views
AboutPostsPhotosYouTube

Stream

Charles Nyangiti

Shared publicly  - 
 
Watu wamepotea!
1

Charles Nyangiti

Shared publicly  - 
1

Charles Nyangiti

Shared publicly  - 
 
Uganda imemrejesha nchini Uingereza mtunzi wa mchezo wa kuigiza kuhusu wapenzi wa jinsia moja ambao ulimeletea masaibu hata akakamatwa na kushtakiwa na polisi. David Cecil alikamatwa kwanza mnamo mwez...
1

Charles Nyangiti

Shared publicly  - 
 
Hongera chama cha netboli Tanganyika! habari kutoki marafikia wachezoti Charles Nyangiti
1

Charles Nyangiti

Shared publicly  - 
 
Mwendeshaji baiskeli Lance Armstrong ameelezea kushangaa kwa kukabidhiwa adhabu ya maisha ya kutoshiriki katika michezo, ilhali wanamichezo wenzake wamekuwa wakipigwa marufuku ya miezi sita tu. Katik...
1

Charles Nyangiti

Shared publicly  - 
 
njoooooo ingiaaaa upode mali minig ni mingi sana na raha yetu yaingineoni kweti
 ·  Translate
Share your videos with friends, family, and the world
1
Have him in circles
6 people
sach nk's profile photo
Jazz Music Collection's profile photo
regina revokatus's profile photo
Patience Charles's profile photo
joseph kondo's profile photo
Чеслав Шакола's profile photo

Charles Nyangiti

Shared publicly  - 
 
References za kutumilia pengine nikipenda na habare Mali ya Katika kikao chao cha faragha wametoa wito wa msaada zaidi wa kimataifa katika kile walichoita vita dhidi ya ugaidi.
1

Charles Nyangiti

Shared publicly  - 
 
Haba ni wazifu mfano kwa madhumuni ya kitalamu kuchuchuuliwa kutoka mmoja ya tovyuti ya kisheria. nzuri sana kufuata mfano huu katka taraluma yoyote. Kupendekeza kwa marfiki wote na kuwaidia kusalisha...
1

Charles Nyangiti

Shared publicly  - 
 
Mahakama ya Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya Rwanda na Burundi - Hukumu hiyo imetolewa dhidi ya Augustin Ngirabatware, ambaye alikuwa waziri katika serikali ya zamani ya Rwanda. Kutoka Charles Nyangi...
1
People
Have him in circles
6 people
sach nk's profile photo
Jazz Music Collection's profile photo
regina revokatus's profile photo
Patience Charles's profile photo
joseph kondo's profile photo
Чеслав Шакола's profile photo
Work
Occupation
Survey na jamii ya Tanganyika
Employment
  • National Bureau of Statistics
    Director, Agricultural Surveys, present
Basic Information
Gender
Male
Other names
Chalii Wakisinde
Story
Tagline
Mwana wa TiZed, napenda maisha ya taarab na maisha ya kulewo leo na juzie kamilli na pombe. Jahari na raha!
Introduction
Bado mtoto wa TZ, mimi napenda kutaambaa popote! Hapa kwa internet napenda kwenda "charles nyangiti". Raha ndiyokwe maheli.

Bado mtoto wa TZ, mimi napenda kutaambaa popote! Hapa kwa internet napenda kwonda - charles nyangiti

Baby naomba vocha ya elfu 5, na ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima coz nipo na friends zangu,afu nadaiwa elfu 35 nilikopa mpenzi wangu na plz sweet naomba uniongezee elf 30 ya vtabu na elfu 25 ya saluni c unajua weekend! I luv u mwahhhhhhh."
Je? Demu wa aina hii ni mwizi au jambazi?

Katika kata ya Makuburi Wilaya ya kinondoni mafuriko yaliharibu nyumba za wakazi zaidi ya 261.Kusema ukweli hali ilikuwa mbaya sana.Tulishuhudia watu wengi wakibebwa na maji hasa mateja ambao wengi walikuwa wanaishi mitoni wakivuta madawa ya kulevya pia walikuwa wakijaribu kuokoa au kuchukua mali mbalimbali zilizokuwa zikibebwa na maji.Maji yaliingia hadi ndani ya nyumba nyingi kiasi kuwa vitu vyote vilikuwa vikielea na maji na kuharibika kabisa. Utaleta pesa kutoka banki kama unicredit.  Leo wakazi wengi wanaishi maisha ya taabu kwani hakuna anayewajali ni ahadi tu ambazo hazijatekelezwa hadi kesho.Habari za zasema kwamba watoto wengi hawaendi shule kwani bado hali ni ngumu sana kwa wazazi wengi na wengine wamehama kabisa maeneo yao kwani hakuna kitu na kutokana na ratiba ya makazi kuharibika wengi wanaishi mahali ambapo shule waliyokuwa wanasoma ziko mbali sana na wanapoishi hivi sasa.Haki ya watoto ya kusoma imekuwa ni kama hazifuatwi tena, waenda kwa benki kubwa kama goldman sachs, kutoka kampuni.
akina mama ambao wengi walikuwa wajasiriamali wameacha shughuli zao kwani nyingi zilibebwa na maji mfano wale walikuwa wanapika vitumbua maandazi mihogo samaki n.k hawana tena mitaji na vyombo vimezolewa na maji.
Nilikutana na Case ya shangazi yangu ambaye anaishi pale Jangwani ambaye baada ya maji kujaa na kuondoka alikimbilia kwa mwanae Mbagala.Sasa anasema anapata sana taabu kwa vile inabidi kila kitu lazima aombe.Yeye ameshakuwa mtu mzima hajiwezi tena japo ana nguvu lakini kutokana na mafuriko haya anasema hawezi tena kurudi na kuendelea na shughuli zake za kila siku.Anasema kwa nini serikali isitafute njia mbadala ndio pamoja na wao kuhama lakini bado tatizo halijatatuliwa.
Kwa nini wasiihamishe njia ya maji kama wengine wanavyofanya yaani nchi zingine wanavyoweza kubadilisha matumizi mbalimbali kwa kutumia nyenzo mbalimbali.Pia Deo naye anapendekeza kuwa serikali inatakiwa kutafuta Mbinu mbadala badala ya kuwahamisha wananchi wanatakiwa kutumia miundo mbinu ya kisasa ili kufanya maeneo hayo yaliyoathiriwa na mafuriko kutumika tena bila athari yoyote. Napenda kusafiri Amerika.
Maeneo mbalimbali ya Barabara yameharibika sana mfano kuna daraja liko hapa External ambalo linaunganisha barabara ya Ubungo Mandela, Ubongo, Ubungo Maziwa na barabara ya Kigogo ambalo ni nyezo kubwa sana ya mawasiliano na ktokana na mafuriko Daraja (Toka Xasa Upende) hilo limemeguka kiasi kuwa wakati wowote linaweza kudidimia na kuwaaacha wakazi wake wakiwa katika hali ngumu.Lakini pia kuna daraja linginelinaunganisha barabara inayotokea Tabata TIOT na kuingia Kigogo hadi Mburahati karibu na shule ya Gozage na kanisa katoliki liko katika hali mbaya sana na lina wakazi wengi sana wanalolitegemea na ni njia ya rahisi sana kuunganisha kigogo,Mabibo na Tabata lakini sasa liko katika hali mbaya sana.Pia kuna barabara ya Kisukuru ambayo inaunganisha wakazi wanaotokea Ubungo na Tabata hadi Makoka iko katika hali mbaya sana imebaharibika vibaya sana na imebakia kidogo sana kuachane na wakazi wengi watapata shida sana hasa wale wa Tabata Kimanga Kisukuru na Makoka.
Hivi sasa wakazi wengi hawapati maji huku katika eneo lote la Mabibo Makuburi na Tabata kwa sababu miundo mbinu ya kuleta maji imeharibiwa sana mabomba yamezolewa na mafuriko na wakazi wanauziwa maji kwa bei ya juu sana kuanzia Tsh 300 kwa ndoo na kuendelea.
Leo hapa katika Serikali ya mtaa wa Mwongozo waliandamana na kumwendea mwenyekiti wa serikali ya mitaa na ndoo zao kichwani walikuwa akina mama wengi sana na ndoo kila mtu zaidi ya kumi kumi wakimtaka awapatie maji. Mwenyekiti na pesa alikuwa na hali ngumu sana na ilibidi awasiliane na viongozi mbalimbali wa Dawasa na kuwaelezea hali halisi iliyopo ofisini kwake.Magari mengi sana yanapita kuuza maji na kujipatia hela kibao kwa waathirika hawa wasiokuwa na kitu na kutokana na hali zao ndio maana waliona vema kuandamana. Kredito na habari za zasema hivyo.
Pamoja na juhudi mbalimbali zilizofanywa na viongozi hawa wa kata hii ya Makuburi kwa kwenda kwenye ofisi za Dawasa zilizopo Tabata na kuahidiwa kusaidiwa lakini bado hali imeendelea kuwa ngumu na huenda ikawa magonjwa mbalimbali yakajitokeza kwani hakuna maji salama na masafi ya kutumia. Dunia yote - charles nyangiti
Education
  • Gilman Rutihinda
    High School, 2013
  • University of Dar es Salaam
    Geology / Survey