Profile cover photo
Profile photo
Ahmad Michuzi
3,997 followers
3,997 followers
About
Ahmad Michuzi's interests
Ahmad Michuzi's posts

Post has attachment
Dk. Kigwangalla afanya ziara mikoa ya Rukwa, Katavi na Tabora
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla ameendelea na ziara yake ya kikazi ya kukagua huduma za Afya ‘Imarisha Afya’ katika Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali mbalimbali kwenye mikoa ya Rukwa, Katavi ...

Post has attachment
SGA Security Comes to the Rescue of Abandoned Patients at MOI
In
response to appeal in both mainstream and social media, the largest and
oldest security company in the Tanzania, SGA Security, responded with
donations.  These were presented on 21 st   July
2017 to the management of Muhimbili Orthopaedic Institute(M...

Post has attachment
BALOZI WA ISRAEL NCHINI MHE. YAHEL VILAN AWAAGA WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) BAADA YA KUMALIZA MUDA WAKE WA KUFANYA KAZI HAPA NCHINI
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimshukuru Balozi wa Israel nchini mwenye makazi yake jijini Nairobi nchini Kenya Mhe. Yahel Vilan (kulia) kutokana na nchi yake kuisaidia Taasisi hiyo kuwapatia mafunzo ma...

Post has attachment
WAZIRI LUKUVI AONYA MAAFISA ARDHI WASIO WAADILIFU
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwaonya maafisa ardhi na maafisa mipango miji wasio waadilifu na kusababisha kero za migogoro ya ardhi nchini wakati wa uzinduzi Master Plan ya mji wa Iringa. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Ma...

Post has attachment
WAZIRI MKUU AAGIZA KUANZA UJENZI WA HOSPITALI TUNDUMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba kuanzisha mradi wa ujenzi wa hospitali. Amesema sh. milioni 900 zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya Halmashauri kwa sasa zianze kutumika katika kuanzisha ...

Post has attachment
VIJUSO VYA MAGAZETI YA JUMAMOSI LEO JULAI 22,2017


Post has attachment
Marianus: Mchezo wa Biko utakuza uchumi wa Watanzania wengi
MJASIRIAMALI
mdogo mkazi wa Chanika, jijini Dar es Salaam,
Enos Marianus, amesema bahati nasibu ya Biko inayaoendelea kuchanja
mbuga
nchini Tanzania, utakuza uchumi wa washiriki na Watanzania kwa ujumla,
akiwamo yeye ambapo ana mpango wa kuendeleza biash...

Post has attachment
DKT. MPANGO ATANGAZA MAPATO KODI YA MAJENGO SHILINGI BILIONI 32.5.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akivipongeza Vituo vya Mafuta vya Puma na Total kwa kuonesha mfano wa kufunga mashine za EFDs katika Pampu zote za mafuta kwenye vituo vyao, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumb...

Post has attachment
RAIS MAGUFULI AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO NA KUHUTUBIA WANANCHI KWENYE MIKUTANO MBALIMBALI YA HADHARA
 Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  pamoja na viongozi mbalimbali wakifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi la ufunguzi wa Barabara  ya Kibondo -Nyakanazi kiwango cha lami.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk...

Post has attachment
Ujumbe Ubalozi wa Israel Watembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili Leo
  Ujumbe kutoka Ubalozi wa Israel nchini Kenya umetembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo. Maestro Nir Brand akipiga kinanda ili kuwaburudisha watoto wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Kushoto ni Ofisa Uhusiano kutoka ub...
Wait while more posts are being loaded