Profile cover photo
Profile photo
Ahmad Michuzi
4,020 followers
4,020 followers
About
Communities and Collections
Posts

Post has attachment
ZFDA YAKAMATA BIDHA MBALIMBALI ZISIZOFAA KWA MATUMIZI YA BINADAMU
Ramadhani Ali – Maelezo Zanzibar Wakala wa Chakula na Dawa  Zanzibar (ZFDA) imezuia kusambazwa bidhaa za chakula na vipodozi zilizoingizwa nchini kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani na siku kuu ya Idd el Fitri kinyume na taratibu na zilizokuwa hazifai k...
Add a comment...

Post has attachment
JAJI WA MAHAKAMA KUU YA NCHINI UGANDA ATEMBELEA JENGO JIPYA LA KISASA LA MAHAKAMA YA MWANZO NA MAHAKAMA YA WILAYA –KIGAMBONI
Picha ya pamoja nje ya jengo jipya la kisasa la Mahakama ya Mwanzo na Mahakama ya Wilaya Kigamboni, Mhe. Gadenya ameisifu Mahakama kwa maboresho mbalimbali yanayoendelea kufanyika na ambayo tayari ameshafanyika kwa ustawi wa Wananchi.(Picha na Mary Gwera, M...
Add a comment...

Post has attachment
Waziri Mkuu Azindua Rasmi Kampeni ya Furaha Yangu jijini dodoma leo
Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa akikata utepe katika uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya kupima VVU na kuanza kutumia dawa mapema ijulikanayo kama Furaha Yangu iliyofanfyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo.  Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa (wa pi...
Add a comment...

Post has attachment
WANAWAKE WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAUME ZAO KATIKA KUJILETEA MAENDELEO NA TAIFA KWA UJUMLA.
Na Frankius Cleophace Tarime Wanawake wametakiwa kujenga Umoja na Ushirikiano na Waume zao pamoja nakuwa waaminifu katika kutunza mali zao ikiwemo fedha ili kujiinua na kuongeza Uchumi wa Nchi kwa Ujumla. Hayo yamebainishwa na Askofu wa Kanisa la Waadventis...
Add a comment...

Post has attachment
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumzana Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt
ambaye amemaliza muda wake wa kazi . Balozi
Katarina Rangnitt alifika ofisi kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es
S...
Add a comment...

Post has attachment
TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MAHIGA NCHINI NORWAY
   Serikali ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania imeihakikishia Serikali ya Norway kuwa inaendelea
kuelekeza nguvu zake kwenye kuweka mikakati sahihi ya kuvutia uwekezaji kutoka
nje ya nchi, ikiwemo nchi ya Norway, ili kuleta maendeleo kwa wananchi wa
Tanzani...
Add a comment...

Post has attachment
MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA YAFANYIKA WILAYA YA GAIRO
Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Shaidi Mchembe ashiriki maadhimisho ya siku ya mtoto Afrika Wilayani Gairo akiwa mgeni rasmi. Maadhimisho hayo yamefanywa na Vituo vya huduma ya mtoto vilivyopo kwenye makanisa 13 ya Injili yaliyopo Wilaya ya Gairo na Kon...
Add a comment...

Post has attachment
KAMPENI YA FURAHA YANGU KATIKA MAANDALIZI YA UFUNGUZI HAPO JANA JIJINI DODOMA
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi,
Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mhe Jenista Mhagama (wa pili kushoto) akiwa
ameandamana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt Bilinith Mahenge (kushoto),   Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu   Prof Faustin...
Add a comment...

Post has attachment
KALEMANI AFURAHISHWA NA WENYE NIA YA KUTENGENEZA VIFAA VINAVYOZUIA UPOTEVU WA UMEME
Na Veronica Simba – Dodoma Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, amefurahishwa na maombi ya wawekezaji wa Kampuni ya CTC Power Equipment Co. Ltd, kutoka China, wenye nia ya kujenga Kiwanda cha kutengeneza vifaa maalum vinavyotumika kuzuia upotevu wa umeme ...
Add a comment...

Post has attachment
RATIBA YA MAZISHI YA ALIYEKUWA RAIS WA TCCIA NDIBALEMA MAYANJA
 
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded