Profile cover photo
Profile photo
SeriaJr TW
148 followers
148 followers
About
SeriaJr's posts

Post has attachment
MUFTI ZUBEIRY ASHIRIKI FUTARI ILIYOANDALIWA NA BENKI YA AZANIA TAWI LA MOSHI
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakichukua Chakula wakati wa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania na kufanyika ofisi za Bakwata mkoa wa Kilimanjaro. Sheakh Mkuu wa Tanzania ,Mufti Abubakary Bin Zubery akishiriki hafla ya kupata Futari iliyoanda...

Post has attachment
MBUNGE WA VITI MAALUMU CATHERINE MAGIGE AWAKUMBUKA WATOTO YATIMA NA WALE WAONAOISHI KATIKA MAHABUSU YA WATOTO ARUSHA
 Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha mapinduzi mkoa wa Arusha Catherine Magige akimkabidhi mkurugenzi na watoto wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Faraja  orphance kilichopo jijini hapa,kituo hichi cha watoto yatima kina jumla ya watoto 200 na kati...

Post has attachment
MKAKATI WA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MATUMIZI BORA YA ARDHI WAKAMILISHWA
Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi(NLUP)
Dkt.Stephen Nindi akizungumza kwa ufupi hatua iliyofika kabla ya kwenda kukabidhi rasimu hiyo katika vyombo vya juu Mkurugenzi msaidizi nyanda za malisho kutoka wizara ya kilimo na Mifu...

Post has attachment
IGP Sirro Afunga Mafunzo ya Askari Uhamiaji CCP Moshi
Leo June 24, 2017 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP  Simon Sirro  alikuwa Mgeni rasmi katika sherehe ya kufunga mafunzo ya Maafisa wa Uhamiaji waliomaliza Kozi Namba Moja, sherehe zilizofanyika Chuo cha Polisi Moshi, CCP. Hizi hapa picha 9 kutoka katika sherehe h...

Post has attachment
WAUAJI KIBITI WATUMA UJUMBE KUENDELEA NA MAUAJI
Siku mbili tangu kuuawa kwa polisi wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani ambao walikuwa kazini katika kijiji cha Bungu B, hali ya wasiwasi imezidi baada ya wauaji hao kusambaza ujumbe unaoeleza kuwa wanaendelea kusaka askari kwa kuwa ni wadhulumaji. Watu ...

Post has attachment
TASWIRA: MBOWE AFUTURISHA MISIKITI MINNE JIMBONI HAI, ATUNUKIWA CHETI CHA AMANI
Mbunge wa Jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo Helga Mchomvu wakati wa Futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mbunge huyo katika miskiti minne tofauti. Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu wakipata Futari katika msikiti w...

Post has attachment
MUFTI MKUU WA TANZANIA AWASILI KILIMINANJARO KWA SWALA YA EID EL FITRI KITAIFA
Mufti wa Tanzania,Sheakh Abubakary Zubery akiwa katika lango la kutokea eneo la watu mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) alipowasili jana mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya Swala ya Idd El- Fitr inayotaraji kufanika kitaifa mkoan...

Post has attachment
JUMUIYA YA WAISLAMU WILAYA YA HAI YATAMBUA MCHANGO WA FREEMAN AIKAEL MBOWE KATIKA KUDUMISHA UMOJA WA KITAIFA
Ni jambo la kawaida duniani kote kutambua mchango au juhudi za mtu au kiongozi katika kusimamia, kufanikisha au kuwezesha jambo fulani kutokea kwa namna yoyote ile. Hiki ndicho kilichotokea wilayani Hai, ambapo jumuiya ya WAISLAMU Hai imemtunuku cheti cha a...

Post has attachment
KATIBU MKUU CHADEMA DK VINCENT MASHINJI AMKOSOA RAIS DK MAGUFULI KWA KWAULI YAKE DHIDI YA WATOTO WANAOPATA MIMBA WAKIWA SHULENI


Post has attachment
KATIBU MKUU CHADEMA DK VINCENT MASHINJI AMKOSOA RAIS DK MAGUFULI KWA KWAULI YAKE DHIDI YA WATOTO WANAOPATA MIMBA WAKIWA SHULENI

Wait while more posts are being loaded