Profile cover photo
Profile photo
MASENGWA TV
23 followers
23 followers
About
Posts

Post has attachment
Breaking news : AGNES MASOGANGE AFARIKI DUNIA
Mwanamitindo na video queen maarufu bongo Agnes Gerald maarufu kama Masogange, amefariki dunia leo Ijumaa Aprili 20,2018 kwa tatizo la presha. Akithibitisha taarifa ya kifo hicho daktari Rama Ngoma wa hospitali ya Mama Ngoma, amesema Agnes amefariki dunia k...
Add a comment...

Post has attachment
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU APRILI 16,2018
Magazetini leo Jumatatu Aprili 16,2018
Add a comment...

Post has attachment
ZARI AMMWAGIA MATUSI DIAMOND PLATNUMZ MTANDAONI
Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platinumz ambaye ni mama wa watoto wawili wa msanii huyo, Zari The Boss Lady ameshindwa kuficha hasira zake na kumshambulia kwa matusi mtandaoni. Mashambulizi ya Zari aliyoyatoa kupitia snapchat, muda mfupi kabla hajaelekea kanis...
Add a comment...

Post has attachment
HAYA HAPA MAGAZETI YOTE YA LEO ALHAMIS APRIL 12, 2018
Magazetini leo Alhamis April 12,2018
Add a comment...

Post has attachment
YANGA YAINGIA KATIKA WAKATI MGUMU SANA
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Young Africans wameshindwa kutamba katika Uwanja wake wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Singida United jioni hii. Singida United ndiyo walikuwa wa kwanza kupachika bao katika dakika ya pili tu ya mchezo...
Add a comment...

Post has attachment
Breaking News: MMILIKI WA MABASI YA HBS NA SABENA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI
Basi la HBS Basi la Sabena Mfanyabiashara anayefahamika kwa jina la Sultan Ahmed au maarufu Chapa mmiliki wa kampuni ya mabasi ya HBS na Sabena amejipiga risasi mdomoni na risasi kutokea nyuma kichwani 'kisogoni'.  Tukio hilo limetokea leo Jumatano Aprili 1...
Add a comment...

Post has attachment
SINGIDA YAAHIDI KUILIZA TENA YANGA TAIFA LEO
Singida United imejigamba kuwatoa nishai tena Yanga kwa kuifunga katika mchezo wa ligi kuu utakaofanyika uwanja wa Taifa leo saa 10 jioni. Aprili mosi mwaka huu Singida iliwatoa Yanga katika mchezo wa kombe la FA kwa mikwaju ya penati 4-2 mtanange uliopigwa...
Add a comment...

Post has attachment
YANGA KUINGIA KIBARUANI LEO BILA LWANDAMINA
Yanga inaingia kibaruani katika Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo kukabiliana na Singida United kutoka Singida. Mechi hiyo Yanga itakuwa inacheza bila ya Kocha wake Mkuu, George Lwandamina ambaye amerejea kwao kimyakimya Zambia kujiunga na timu yake ya za...
Add a comment...

Post has attachment
Siri imefichuka: ALIYESABABISHA KOCHA WA YANGA GEORGE LWANDAMINA KUONDOKA ABAINIKA
Kocha George Lwandamina ameshaitema klabu ya Yanga na tayari ZESCO United imeshatangaza rasmi kumsaini kocha huyo ambaye aliisaidia Yanga kushinda taji la ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2016/17. Kinachoibua maswali mengi ni sababu za Lwandamina kuondoka ki...
Add a comment...

Post has attachment
HAYA HAPA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATANO APRIL 11, 2018
Magazetini leo Jumatano April 11,2018
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded