LUNYAMILA AMZUNGUMZIA NGOMA, ASEMA ANGEKUWEPO ANGEMALIZA MCHEZO
Winga hatari wa Yanga, Edibily Lunyamila amesema kikosi cha Yanga dhidi ya Simba, kilimkosa Donald Ngoma kama pacha wa Amissi Tambwe. Watani hao walivaana katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar, jana. Simba ...
Shared publicly