KOCHA WA MSHIKAMANO AELEZA MAAJABU WALIYOKUTANA NAYO IRINGA, WALITEMBEZEWA VIRUNGUUUU
Kocha Mkuu wa timu ya Mshikamano ya Dar es Salaam inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (FDL), Hamisi Kinonda amefunguka kuwa ilibaki kidogo wachezaji wake wafie uwanjani katika mchezo wao wa juzi dhidi ya Lipuli ya Iringa kutokana na kichapo kikali walichokum...
Shared publicly