KAZI YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM FC KUENDELEA KESHO
Baada kupatikana timu nne kutoka Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) katika michuano ya Kombe la Shirikisho ya Azam (Azam Sports Federation Cup 2016/2017), mapambano ya kuwania taji hilo, yanatarajiwa kuendelea kesho Januari 12, 2017 kwenye viwanja tofauti hapa...
Shared publicly