MKWASA AELEZA KWA SABABU ALIMCHAGUA CRISTIANO RONALDO KUWA MWANASOKA BORA WA DUNIA
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Charles Mkwasa amemtaja mshambuliaji wa Ureno na klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo kuwa ndiye aliyemchagua kuwa Mwanasoka Bora wa Dunia wa mwaka 2016. Tuzo hizo zilitolewa juzi nchini Uswisi ambapo R...
Shared publicly