LOGARUSIC ATUA DAR, APEWA MIAKA MIWILI KOTOKO
Kocha wa zamani wa Simba, Mcroatia, Zdravko Logarusic, amesaini mkataba wa miaka miwili ya kuinoa timu ya Asante Kotoko ya Ghana baada ya kuachana na Interclube ya Angola. Logarusic ambaye aliinoa Simba kuanzia Desemba, 2013 mpaka Julai, 2014, Novemba mwaka...
Shared publicly