Shared publicly  - 
 
JUMA ABDUL AONYESHA UMBO LAKE DOGO HALIMZUII KUTEMBEZA UBABE, APAMBANA NA BANDA WA SIMBA
Beki Juma Abdul wa Yanga ndiye amekuwa gumzo zaidi mitandaoni kutokana na kuonyesha ubabe wake. Abdul anaonekana kwenye picha akijaribu kumkaba beki wa Simba, Abdi Banda licha ya kwamba ana umbo kubwa kuliko yeye. Beki huyo wa Yanga, alivaana na Banda wakat...
Translate
1
Add a comment...