SIKIA HII YA KASEJA ANAVYOMPA JEURI MECK MAXIME NDANI YA KAGERA SUGAR
Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa tangu alipofanikiwa kumsajili mlinda mlango, Juma Kaseja mambo yamebadilika katika kikosi chake hicho ambapo hivi sasa kila mchezaji anataka mafanikio. Kaseja alijiunga na Kagera Sugar hivi karibuni kati...
Shared publicly