Profile cover photo
Profile photo
saleh ally
307 followers
307 followers
About
Posts

Post has attachment
SAFARI HII SPORTPESA INATOA BAJAJ IMARA ZAIDI, ZINAJULIKANA KAMA BAJAJ RE, ZIKO 100 KWA SIKU 100
Kampuni maarufu zaidi ya ya Kubashiri Michezo Tanzania ya SportPesa, leo Alhamisi imezindua rasmi promosheni ya kuinua maisha kiuchumi ijulikanayo kwa jina la Shinda Zaidi na SportPesa itakayodumu kwa siku 100 ambapo mshindi atajishindia Bajaj RE mpya. Prom...
Add a comment...

Post has attachment
SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA, BAJAJ 100 KWA SIKU 100, YAANI MAMBO NI MOTOO
Kampuni maarufu zaidi ya ya Kubashiri Michezo Tanzania ya SportPesa, leo Alhamisi imezindua rasmi promosheni ya kuinua maisha kiuchumi ijulikanayo kwa jina la Shinda Zaidi na SportPesa itakayodumu kwa siku 100 ambapo mshindi atajishindia Bajaj RE mpya. Prom...
Add a comment...

Post has attachment
WACHEZAJI SIMBA WAAHIDI KUZIVUNJA MBAO ZA MWANZA PALE KIRUMBA....
Uongozi wa Simba umekutana na wachezaji wake na kuwaeleza kile wanachoamini kinatakiwa ambacho ni ushindi dhidi ya Mbao FC, leo. Wachezaji wa Simba nao wameahidi kufanya vema wakijua kuwa mechi dhidi ya Mbao FC hasa ikiwa nyumbani mara nyingi ni ngumu kwao....
Add a comment...

Post has attachment
HATIMAYE SHEMEJI KWA RASHFORD AJULIKANA, AONEKANA AKIMTOA KWA AJILI YA MSOSI
Kiungo wa Man United, Marcus Rashford ameonekana akiwa na mpenzi wake mtaani kwa mara ya kwanza. Rashford ambaye bado hajawa na msimu mzuri katika iikosi cha Man United, ameonekana akiongozana na mpenzi wake huyo kwa ajili ya mtoko wa msosi.
Add a comment...

Post has attachment
POLISI TANZANIA YAJIPANGA, YAENDELEA KUTEST MITAMBO
Timu ya Polisi Tanzania inayojiandaa na Ligi daraja la kwanza, Jumatano hii 19/09/2018 itashuka katika uwanja wa TPC Moshi kujipima nguvu na Machava FC. Kwa mujibu wa Afisa habari na Mawasiliano wa Timu ya Polisi Tanzania Frank Geofray amesema mchezo huo ni...
Add a comment...

Post has attachment
KAMBI YA RIADHA YA DStv YAZINDULIWA MBULU, NI MAANDALIZI YA KUILETEA TANZANIA MEDALI, VIJANA 16 WAANZA KUPIKWA
·           Wanariadha wakongwe wapongeza, Tanzania sasa kurejea kuwa kinara MultiChoice Tanzania ikishirikiana na klabu ya riadha ya Rift Valley ya Karatu imefungua kambi maalum ya raidha wilayani Mbulu ambapo wanariadha 16 watakuwa wakipatiwa mafunzo kwa ...
Add a comment...

Post has attachment
NDANDA FC YAITULIZA SIMBA NANGWANDA SIJAONA, YAIZUIA KWA SARE YA BILA BAO
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamelazimishwa sare ya bila kufungana dhidi ya wenyeji wake, Ndanda FC. Hii ni sare ya kwanza kwa Simba baada ya ushindi mara tatu mfululizo. Simba walishambulia mara nyingi zaidi lakini Ndanda wakiwa nyumbani Nangw...
Add a comment...

Post has attachment
MABADILIKO SAWA SIMBA, ILA BILA HAYA HAKUTAKUWA NA MAANA
NA SALEH ALLY NIMEONA niendelee na Simba kwa kuwa tayari wametangaza njia yao kwenda katika mabadiliko. Kutoka klabu inayoendeshwa kimazoea hadi kuwa klabu inayoendeshwa kitaalamu. Utaalamu ni nini? Hakuna ubishi lazima wawepo watu waliosomea masuala fulani...
Add a comment...

Post has attachment
EVERTON KUBADILI JEZI KWA AJILI YA AFRIKA, WATAKUWA WAKIIVAA WEST HAM UNITED KESHI
Wachezaji wa timu ya Everton FC watakuwa wamevalia jezi zenye nembo tofauti kesho   Jumapili hii wakiwa kwenye uwanja wa nyumbani dhidi ya timu ya West Ham United kwenye michezo ya Ligi kuu inayoendelea. Washirika wakuu wa timu ya Everton, kampuni ya ubashi...
Add a comment...

Post has attachment
KOCHA MZUNGU WA SIMBA SASA ANATAKA JUUKO KUREJEA KUNDINI MARA MOJA
Bosi wa benchi la Ufundi la Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems ameutaka uongozi wa klabu hiyo, kumrudisha kundini beki wake kati, Mganda, Juuko Murshid baada kuvutiwa na uwezo wake. Kocha huyo alimuona Juuko akiitumikia timu ya Taifa ya Uganda kwenye mchezo w...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded