Profile cover photo
Profile photo
saleh ally
269 followers
269 followers
About
saleh's posts

Post has attachment
TASWIRA MANCHESTER CITY WAKIJIFUA BAADA YA KUJICHIMBIA ABU DHABI
Baada ya mchezo wao dhidi ya Manchester United kuahirishwa, Man City wameona ni nafasi nzuri ya kufanya mazoezi nje ya England. Sasa wamejichimbia Abu Dhabi ambako watakuwa wakifanya mazoezi kujiandaa dhidi ya Monaco. Pia mechi yao ya Kombe la FA dhidi ya H...

Post has attachment
LEICESTER CITY YAMTIMUA KAZI RANIERI, NI SIKU 298 BAADA YA KUIPA UBINGWA
Leicester City imemtimua kazi kocha wake Claudio Ranieri. Ranieri ametimuliwa kazi ya kuinoa Leicester ikiwa ni siku 298 na saa kadhaa baada ya kuipa ubingwa wa England.

Post has attachment
MASHABIKI WA YANGA WATAMBA; HAWANA HAJA YA KUSHANGILIA KWA SABABU YA SIMBA
Mashabiki wa Yanga, wametamba kwamba wao hawana sababu ya kushangilia kwa nguvu kwa kuwa kuifunga Simba ni jambo la kawaida kabisa. Kundi la wanachama na mashabiki katika tawi la Ubungo Teminal jijini Dar es Salaam, wametamba kwamba wamekuwa wakifanya mambo...

Post has attachment
MAJIMAJI WALALAMIKA KUPULIZIWA SUMU, STAND WAPEWA ONYO KALI
MAJIMAJI Kikao cha Bodi ya Kusimamia na Kuendesha Ligi, kiliketi mwanzoni mwa wiki hii na kufanya tathmini ya mambo mbalimbali yaliyotokea kwenye michezo mbalimbali ya mpira wa miguu kwa michuano yote – Ligi Kuu ya Vodacom, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Dar...

Post has attachment
RUVU SHOOTING WAKOMALIWA, WATAKIWA WAUFANYIE MAREKEBISHO UWANJA WAO
RUVU SHOOTING Kikao cha Bodi ya Kusimamia na Kuendesha Ligi, kiliketi mwanzoni mwa wiki hii na kufanya tathmini ya mambo mbalimbali yaliyotokea kwenye michezo mbalimbali ya mpira wa miguu kwa michuano yote – Ligi Kuu ya Vodacom, Ligi Daraja la Kwanza na Lig...

Post has attachment
BAADA YA KIKAO CHA SAA 72, MECHI YA SINGIDA UNITED YAONDOKA NA WAAMUZI
Mechi namba 49 (Polisi Mara vs Singida United FC). Mwamuzi Msaidizi Namba Moja, Enock Mwanyonga, na Mwamuzi Msaidizi Namba Mbili, Abdulaziz Ally wameondolewa kwenye orodha ya waamuzi wa Ligi Daraja la Kwanza baada ya kushindwa kumudu mchezo huo. Uamuzi huo ...

Post has attachment
BULYANHULU WAPIGWA FAINI YA SH LAKI TATU, MCHEZAJI SABASABA AFUNGIWA MECHI TATU
Klabu ya Bulyanhulu FC imepigwa faini ya Sh 300,000 (laki tatu) baada ya timu yake kuchelewa kufika kwenye kikao cha maandalizi ya mechi (pre match meeting). Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 14(3) ya Ligi Daraja la Pili. Waamuzi wa mechi hiyo; Mwamuzi...

Post has attachment
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS KUENDELEA KESHO
Baada ya Simba kutangulia robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) yaani Azam Sports Federation Cup kwa kuifunga African Lyon kwa bao 1-0, mechi nyingine za kuwania nafasi hiyo zitaanza kuchezwa kesho Ijumaa Februari 24, mwaka huu. Simba iliilaza ...

Post has attachment
ILE LIGI KUU YA WANAWAKE SASA KUANZA FEBRUARI 26
Ligi Kuu ya Wanawake ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hatua ya 6 Bora itaanza rasmi Februari 26, 2017 kwenye kituo kimoja cha Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala, Dar es Salaam. Timu sita zilizofanikiwa kufika hatua ya Sita Bora ni JKT Queen...

Post has attachment
MAPENZI YA BINTI WA KOCHA WA ZAMANI WA YANGA, YAUZIDI HATA MPIRA
Kocha wa zamani wa Yanga, Tom Sanintfiet amesema binti yake Nikelwa ndiyo furaha yake namba moja hata kuliko mpira. Saintfiet ambaye sasa ni Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Trinidad and Tobago amesema binti huyo ndiyo mwenye miezi kadhaa tu, ndiyo raha yake ...
Wait while more posts are being loaded