Profile cover photo
Profile photo
Lyuba Lubadya
3 followers -
LUBADYA LYUBA
LUBADYA LYUBA

3 followers
About
Posts

"Ujasusi wa kidola na Kiuchumi," - Yeriko Nyerere, ni kitabu kinachooneka kupaisha hadhi ya Yeriko: kimekuwa kinanukuriwa Mara kwa Mara na watanzania, hasa wapenda kuipa changamoto serikali ya Tanzania.

Niliamua kukipengua hicho kitabu: walau nipate utangulizi na dhamira ya hicho kitabu. Nimefanikiwa, na maoni yangu, juu ya hicho kitabu ni: kijitabu hicho kinafaa kusomwa na kila mtu, lakini tatizo bei yake ni bei ya Kibanguzi sana.
Add a comment...

Post has attachment
Lyuba Lubadya commented on a post on Blogger.
Kitabu kizuri kinasitahili kusomwa.

Lakini bei ni ya kibanguzi, kila siku Tume kuwa, tukiimba wimbo "vyuma vimekaza," nani atakinunua hiki kitabu?
Add a comment...

"Wao wanatumia fedha, sisi tunatumia nguvu"-Mbowe.
Add a comment...

Hekima na Busara kawaida yake ni uerevu na uvumilivu tukadumu katika upole.
Add a comment...

Wapinzani wa Tanzania si wabunifu; wamebobea katika ku-copy na ku-paste.

Vyama vya upinzani vimekopi na kupesti "kususia Uchanguzi mdogo wa 13January2018" ni kukosa ubunifu kwani kususia uchanguzi ni madhila ya kitoto yasiyo na manufaa yoyote: wapinzani wamechukua mbinu za upinzani wa Kenya ulioshindwa.
Add a comment...

Mungu ni mwema wakati wote.😨😨😨😨😨😨😨😨😨
Pinga kelele:😨😨😨😨😨 ni mwingi wa rehema na neema tele.
Add a comment...

Post has attachment

Post has attachment
Andiko nono na elezi litakujia hivi karibuni, cha kufanya tembelea ukurasa pendwa LUBADYA LYUBA. Unaweza kuupenda au kuufolo ukurasa wetu.
Photo
Add a comment...

When I wake up I react what I dream during night. God bless me.
Add a comment...

Post has attachment
We are here for you.

For more visit our page Lubadya Lyuba.
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded