Profile cover photo
Profile photo
cfo tma
12 followers
12 followers
About
Posts

Post has attachment
Public
MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MWAKA 2018
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inawaalika wadau wake wote
kutembelea ofisi za hali ya hewa ambazo ziko nchini kote kati ya tarehe 20-22 Juni
2018 ili kutoa maoni na ushauri kuhusu uboreshaji wa huduma za hali ya hewa
zitolewazo na Mamlaka.
Add a comment...

Post has attachment
Public
TMA YATOA MWELEKEO WA HALI YA HEWA NCHINI KWA KIPINDI CHA MWEZI JUNI – AGOSTI (JJA), 2018
TMA YATOA MWELEKEO WA
HALI YA HEWA NCHINI KWA KIPINDI CHA MWEZI
JUNI – AGOSTI (JJA), 2018 Na. Monica Mutoni Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa mwelekeo wa hali ya hewa nchini
kwa kipindi cha mwezi Juni hadi Agosti mwaka 2018. Taarifa hiyo imetoa uchamb...
Add a comment...

Post has attachment
Public
MAMLAKA YA HALI YA HEWA SIERRA LEONE YAFANYA ZIARA YA MAFUNZO KATIKA OFISI ZA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
Ujumbe kutoka Sierra Leone katika ukumbi wa
mkutano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano walipokutana na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchuuzi)   Dkt. Leonard Chamuriho, wajumbe hao
waliambatana na wenyeji wao kutoka TMA ...
Add a comment...

Post has attachment
Public
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA YATEMBELEWA NA WANAFUNZI KUTOKA MAREKANI KWA MWALIKO WA UNDP.
  Wanafunzi kutoka Marekani kwa mwaliko wa UNDP wametembelea ofisi za TMA kujionea shughuli mbalimbali za TMA na utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma za hali ya hewa unaosimamiwa na UNDP. Picha hii imechukuliwa katika studio ya TMA zinazotumika kurekodi...
Add a comment...

Post has attachment
Public
MAKALA: MAZINGIRA NA HALI YA HEWA
Na Monica Mutoni WAKATI huu ambapo tunaadhimisha wiki
ya mazingira ni vyema tukakumbuka tulikotoka, wakati wazee wetu wakitumia
busara zao kutushauri kutunza mazingira ili yatutunze. Moja ya msisitizo wao ulikuwa ni
pamoja na kutuaminisha kwamba utunzaji wa...
Add a comment...

Post has attachment
Public
SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI: WATAALAM WA HALI YA HEWA WASHIRIKI KATIKA KUTOA ELIMU YA HALI YA HEWA KWENYE MAONESHO YANAYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
Mtaalam kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, Bi. Tunsume Mwamboneke akitoa elimu kuhusiana na huduma za hali ya hewa na mazingira kwenye maonesho ya kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani 2018 yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia tarehe 3...
Add a comment...

Post has attachment
Public
NDITIYE AITAKA TMA IJITANGAZE UMUHIMU WAKE KIUCHUMI NA KIJAMII
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati)
akizungumza na Bodi na Menejimenti ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania wakati
alipotembelea makao makuu ya mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dk...
Add a comment...

Post has attachment
Public
Add a comment...

Post has attachment
Public
Add a comment...

Post has attachment
Public
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded