Profile cover photo
Profile photo
Felix .K.
10 followers
10 followers
About
Posts

Post has attachment
MIGOGORO YA NDOA NA TOFAUTI YA KIJINSIA
Ziko tofauti nyingi za kijinsia kati ya wanawake na
wanaume, ambazo mara nyingi zimekuwa chanzo cha migongano, migogoro na mivutano
katika ndoa. Kutokuzifahamu tofauti hizi kumesababisha wanandoa kupeana upendo
ambao kila mmoja angependa apatiwe, badala ya ...
Add a comment...

Post has attachment
MIGOGORO KATIKA NDOA NA MAHUSIANO
Kama nilivyoeleza kwenye makala yangu ya changamoto
zinazosababishwa nawanadoa wenyewe mmojawapo ni
mawasiliano(kutokuelewana). Hii ndio changamoto kubwa sana katika ndoa na ndio
chanzo cha taraka nyingi kwa mujibu takwimu za kimataifa. Kwa bahati mbaya tar...
Add a comment...

Post has attachment
Very important tool for online writters.
Add a comment...

Post has attachment
MAWASILIANO KATIKA NDOA
Kama
nilivyoeleza kwenye makala yangu ya changamoto zinazosababishwa na
wanadoa wenye mmojawapo ni mawasiliano(kutokuelewana). Hii ndio changamoto(migogoro)
kubwa sana katika ndoa na ndio chanzo cha taraka nyingi kwa mujibu takwimu za
kimataifa. Kwa mbaya t...
Add a comment...

Post has attachment
NGUVU YA KUOMBA MSAMAHA
Ingawa kuna wakati kuomba
msamaha kunaonekana kama ni kitu kisichohitajika lakini ukweli ni kwamba
kutokufanya hivyo kunaacha doa kubwa kuliko hata kosa ulilolifanya. Kuna nguvu
katika kuomba msamaha ambayo ni kubwa kuliko maneno unayoyatamka. Katika mafund...
Add a comment...

Post has attachment
FAIDA YA KUSAMEHE
1. Kwanza kabisa, tunasamehe kwa sababu kusamehe ni amri na ni agizo la Mungu. binadamu ni watu ambao hawapendi kukubali kosa ni watu waliozoea kujitetea na kukataa kosa pale anapokosa. Kama tukikataa kutii tunakaidi agizo la Mungu hivyo tunapaswa kusamehea...
Add a comment...

Post has attachment
FAIDA ZA KUSAMEHE
1. Kwanza kabisa, tunasamehe kwa sababu kusamehe ni amri na ni agizo la Mungu.
binadamu ni watu ambao hawapendi kukubali kosa ni watu waliozoea kujitetea na
kukataa kosa pale anapokosa. Kama tukikataa kutii tunakaidi agizo la Mungu
hivyo tunapaswa kusamehea...
Add a comment...

Post has attachment
MAHUSIANO KWA MWAKA 2018
Leo ni siku ya tatu(3) tangu tuanze mwaka 2018, ili
kudumisha na kuboresha mahusiano yetu kwa mwaka huu mpya. Napenda kuwashauri
kuishia kwa kanuni zifuatazo: - ©        Kuacha kuangalia madhaifu kwa mwenza wako, bali
tuangalie mazuri ya mwenza wako. ©     ...
Add a comment...

Post has attachment
Join usi-tech ICO tokens by this link https://1186553.usitech-int.com, also get a package with 140% interest. Don’t wait the time to join is now.

Post has attachment
Join sficoin ICO by this link https://sficoin.co/ref/fk4466, auto
 Round 1: $0.9 (30.11.2017 to 30.11.2017) - Completed
 Round 2: $0.25 (01.12.2017 to 05.12.2017) – On going
 Round 3: $0.45 (06.12.2017 to 10.12.2017)
 Round 4: $0.65 (11.12.2017 to 15.12.2017)
 Round 5: $0.80 (16.12.2017 to 20.12.2017)
 Round 6: $0.90 (21.12.2017 to 25.12.2017)
To attain financial freedom join sfi by Lending, Trading n Staking
How to open Sficoin acct and buy Coins:
<Click my link>
<Login>
<Open acct>
<Next>
<Go your e-mail for login password>
<Buy ICO>
For Sales commencing time visit the website. Don’t wait the time to join is now.
Wait while more posts are being loaded