Profile cover photo
Profile photo
MAJILIO DYAHO
Tunasaidia watoto yatima, walemavu, na wale wenye mazingira magumu, katika nyanja ya elimu, mavazi chakula matibabu na maisha kwa jumla. Tunaangalia wanafunzi wote walioshindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya ukosefu wa ada, kufiwa, taraka na mengine yanayofanana na hayo. Tuko hapa kukusaidia! Tunaskuli pia inowasaidia watuwazima ambao ima hawakupata elim kabisa na wangependa kujiendeleza, au walikwamia njiani na wangependa kuendelea na masomo zaidi. Tunawaangalia wafanyakazi mbalimbali ambao anatamani kujiendeleza na masomo zaidi kwa kuwatafutia chuo bora kabisa kulingana na kozi yake Tunatetea haki za bianadamu hasa katika nyanja ya watoto na wanafunzi wa kila lika. Tupo kukusaidia, Hauko pekeyako, tupo marafiki wa wanafunzi na wenyemazingira magumu. Tunjenga taifa la kesho!

About
Posts

Post has attachment
A
ZITTO AFUNGUKA
ZITTO AFUNGUKA
mo24haji.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
KESI YA BABUSEA NA MWANAE YASIKILIZWA; NA MATUMAINI YA KUTOKA YANUKIA. TAZAMA PICHA 13 HAPA!!!!
 
Add a comment...

Post has attachment
Add a comment...

Post has attachment
Photo
Add a comment...

Post has attachment
jamani wizi mbaya unamuona huyo?
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded