Profile cover photo
Profile photo
Makavulive dar
50 followers
50 followers
About
Posts

Post has attachment
Miss CHANG'OMBE 2016 KUSINDIKIZWA na TID & CASSIM MGANGA...JULY 22 @CDS PARK zamani TCC Club, Chang'ombe!
TID Fainali ya shindano la Miss Chang'ombe 2016 litafanyika Ijumaa ya tarehe 22 Julai ktk ukumbi wa burudani CDS PARK Zamani TCC Club Chang'ombe, ambapo warembo 15 waliojifua vya kutosha watapanda stejini kuchuana kwa ajili ya taji hilo. Baadhi ya washiriki...
Add a comment...

Post has attachment
MISS CHANG'OMBE 2016 WATEMBELEA 'ZA KWETU AFRIKA' SABASABA!!
Baadhi ya washiriki katika kinyanganyiro cha Miss Chang'ombe 2016 wakimtembelea mmoja kati ya wadhamini wao 'ZA KWETU AFRIKA' ktk Viwanja vya maonyesho ya 40 ya Sabasaba yanayoendelea jijini DSM Warembo wakijaribu baadhi ya vito vya urembo mbalimbali uliobu...
Add a comment...

Post has attachment
Welcome to !The International Afrika Festival Tübingen in Germany
Enie Susan Tatah, CEO of Afrikactive and African International Festival,Tubingen ,Germany The International Afrika Festival Tübingen in Southern
Germany The Republic of Burundi is country of honor 2016 From the 21 to
24 July 2016, Tübingen International Afr...
Add a comment...

Post has attachment
USAJILI WA "KARATE CLUB OF JUNDOKAN SO HONBU SYSTEM TANZANIA" NI NEHEMA
Sensei Rumadha Fundi, wakiwa na Sensei Pedro Cardeira toka Lisbon, Ureno wakifanya zoezi la mbinu ya kuvunja mkono Habari
za uhakika zimetufikia kuwa chama cha Karate club of Jundokan So Honbu
System Tanzania kimepata usajili.Tanzania itasonga mbele na ku...
Add a comment...

Post has attachment
XXL AFRO SUMMER JAM, 30TH JULY
COME AND JOIN US TO FEEL THE SPIRIT & RHYTHM OF AFRICA!!! Save the date: 30. July 2016 - Kultur Arena, Stuttgart ### XXL AFRO SUMMER JAM, 1st EDITION ### with an incredible concept that is going to turn the crowd on: # The Ngoma Africa Band live on stage...
XXL AFRO SUMMER JAM, 30TH JULY
XXL AFRO SUMMER JAM, 30TH JULY
makavulive.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
MISS CHANG'OMBE 2016 INATAMBULISHWA KESHO 'MPOAFRIKA' - DAVIS CORNER
KAMPUNI
ya SG Entertaiment imewataka warembo kutoka kata zote zilizopo chini ya
chang'ombe wenye sifa na vigezo stahiki kujitokeza bila kuogopa 
kuchukua fomu za kushindani wa Miss Chang'ombe. Akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana...
Add a comment...

Post has attachment
NGOMA AFRIKA BAND YATAJWA KUWA BENDI IMARA BARANI ULAYA
Ngoma
Africa band imetajwa ni bendi hiliyovuka dhoruba na kushika chati ulaya
kianzo kimoja maarufu cha habari barani ulaya AFRONEWS kimeitaja bendi hiyo kuwa imejijengea ngome imara na kuwashika washabiki wa kimataifa kisawa sawa soma zaidi bofya link ch...
Add a comment...

Post has attachment
NGOMA AFRICA BAND YAWATAKIA HERI YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
Bendi
maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka
FFU-ughaibuni au viumbe wa ajabu Anunnaki aliens inayoongozwa na
mwanamuziki mashuuri Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja inaungana
na wadau wote wa habari duniani kwa kuwatakia kil...
Add a comment...

Post has attachment
MTINDO WA VAZI LA MIDABWADA'S STYLE INAZIDI KUWATIA WAZIMU VIJANA
Uvaaji wa nguo zilizochanwa chanwa au kuwekwa vilaka kwa makusudi
unaojulikana kwa jina la  "Midabwada's Style" unazidi kuwatia wazimu
vijana hususan vijana wa kisasa aka Dotcom Generation
hawaoni wala kusikia mbele ya vazi la midabwada,    mtindo wa vaz...
Add a comment...

Post has attachment
Rest In Peace NDANDA KOSOVO!!
1977 - 2016
Rest In Peace NDANDA KOSOVO!!
Rest In Peace NDANDA KOSOVO!!
makavulive.blogspot.com
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded