Profile cover photo
Profile photo
Nasaha Islam
27 followers
27 followers
About
Posts

Post has attachment
MAUAJI MKURANGA, KIBITI NA RUFIJI
Je ni Ugaidi, Chuki za Kisiasa na Jeshi La Polisi au Ni Uhalifu tu Mwingine!?
MAUAJI MKURANGA, KIBITI NA RUFIJI
MAUAJI MKURANGA, KIBITI NA RUFIJI
nasahazetu.blogspot.be
Add a comment...

Post has attachment
WAMEUFANYA UISLAM KAMA MADUKA YA NGUO ZA FASHION!

Nilikuwa nimekaa nikiangalia Luninga, kipindi kiliwa cha maduka ya fashion za nguo aina mbali mbali. Nikaona jinsi watu wanavyo angaika kuchagua aina mbalimbali za mavazi, wapo waliochagua mavazi ya kubana, wapo waliochagua magauni marefu yaliopasuliwa chini, wapo waliochagua vimini, na kadhaa wa kadha. Katika hali ya kutafakali ikanipitia fikra mbalimbali ya hali yetu Waislam wa sasa.

Nikawa najiuliza, hivi Waislam sisi, tuna tofauti gani na wale watu wanao ingia kwenye maduka ya nguo na kujichagulia nguo wanazotaka au kuzitamani!? 

Click link for More
Source: http://nasahazetu.blogspot.com/2015/05/wameufanya-uislam-kama-maduka-ya-nguo.html
Add a comment...

Post has attachment

Post has attachment

Post has attachment
Upigaji wa Punyeto au Kujichuwa, ni tatizo kuwa sana kwa watu wengi na haswa vijana, ambao bado hawajaoa, vijana ndio wanaokabiliana kwa hali ya juu kabisa na vishawishi vinavyowazunguka katika jamii mbalimbali wanazoishi.
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded