Profile cover photo
Profile photo
Karim Tz
26 followers -
i born in 1992 at ligunga village in tunduru district Ruvuma rwgion.
i born in 1992 at ligunga village in tunduru district Ruvuma rwgion.

26 followers
About
Posts

Post has attachment
Simba miaka saba makocha kumi
Dar es Salaam. Wakati Simba ikimtangaza kocha mpya Mbelgiji Patrick Aussems leo jijini Dar es Salaam, rekodi zinaonyesha mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara wameajili makocha kumi (10) katika kipindi cha miaka saba (7). Rekodi hiyo ni ya tangu msimu wa 2...
Add a comment...

Post has attachment
Waziri Mkuu Ateta Na Balozi Mbelwa Kairuki
WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Tanzania nchini China,
Balozi Mbelwa Kairuki na amempongeza kwa kazi nzuri anayoifanya tangu
aende huko. Amekutana
na Balozi Kairuki leo (Alhamisi, Julai 19, 2018) katika makazi ya
Waziri Mkuu, Oysterb...
Add a comment...

Post has attachment
Taarifa Kwa Umma Kuhusu Ziara Ya Waziri Mkuu Wa Jamhuri Ya Korea
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Mhe. Lee Nak-yon atafanya ziara ya kikazi
nchini kwa mwaliko wa mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.), kuanzia tarehe 21 hadi
23 Julai 2018. Ziara hiyo itakuwa...
Add a comment...

Post has attachment
Kocha mpya Simba hana habari na Yanga
Dar es Salaam. Kocha Mpya wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amesema hana habari na watani zao wa jadi Yanga, yeye mipango yake ni kuifanya Simba kuwa big team Afrika. Patrick amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuinoa klabi hiyo huku akisisitiza kuwa atafanya ...
Add a comment...

Post has attachment
Billnas Amtolea Uvivu Steve Nyerere "Achana na Mimi Komedi Zako Peleka Majukwaani"
Msanii wa Muziki wa Bongo fleva ambaye anafanya vyema na ngoma yake mpya
ya ‘Labda’ amemtolea uvivu msanii wa Bongo movie Steve Nyerere na
kumtaka apeleke komedi zake majukwaani. Bifu kati ya Billnas na Steve Nyerere lilianza juzi baada ya Steve
kumtolea...
Add a comment...

Post has attachment
Kocha wa Chelsea afanya jitihada za kuwabakiza wachezaji hawa Chelsea
Baada ya kutambulishwa na
Chelsea kama kocha mkuu Maurizio Sarri ameomba kukutana na hawa
wachezaji ili kuogelea mwelekeo wao katika kikosi chake ambacho ameanza
kukisuka. Sarri
ameomba kukutana na wachezaji wawili raia wa Ubelgiji ambao ni Eden
Hazard...
Add a comment...

Post has attachment
Mabadiliko ya katiba yamtaka Rais Rodrigo Duterte asigombee tena urais, mwenyewe asema watapata tabu sana
Ombi la pendekezo la mabadiliko ya vifungu vya katiba vya kumtaka
Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte kugombea tena Urais kwa awamu ya pili
limegonga mwamba na badala yake hataruhusiwa kugombea tena Urais muhula
wa pili. Mabadiliko
hayo yaliyotangazwa na...
Add a comment...

Post has attachment
Alisson Becker tayari ametua Anfield kwa ajili ya vipimo
Mlinda mlango wa timu ya taifa ya Brazil na zamani klabu ya AS Roma
Alisson Becker tayari ametua katika viunga vya Anfield kwa ajili ya
vipimo vya kiafya ili kuanza kuitumikia klabu hiyo. Liverpool
wamefikia makubaliano na klabu ya AS Roma ya Italia kwa ...
Add a comment...

Post has attachment
Steve Nyerere kwenda kumtembelea Muna ‘labda tufukuzwe lakini nimeshamsamehe’
Msanii wa filamu Steve Nyerere amedai kuwa yote ambayo ameongea Muna
siku ya jana kuhusu yeye sio ya kweli na tayari ameshamsaheme ambapo
amepanga safari ya kwenda kumtembelea akiwa na Wema Sepetu. Mapema jana
Muna alidai sio kweli kwamba alimwambia Stev...
Add a comment...

Post has attachment
Twaweza yathibitisha kuijibu barua ya Costech
Mara baada ya kusambaa kwa barua ya Twaweza iliyoandikwa kutokea
Costech, Taasisi ya Twaweza imejibu kimya kimya barua waliyoandikiwa na
Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Julai 11 2018. Twaweza imechukua hatua hiyo baada ya kutakiwa na Costech kuji...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded