Profile cover photo
Profile photo
MoEST TV
65 followers -
moestvt
moestvt

65 followers
About
Posts

Post has attachment
Public
WIZARA YA ELIMU YAKABIDHI MAGARI 47 KWA WADHIBITI UBORA WASHULE
Wathibiti Ubora wa Shule nchini wametakiwa kufanya ufuatiliaji wa karibu
wa taaluma shuleni kwani matokeo bora ya ujifunzaji yanahitaji
usimamizi na tathmini ya mara kwa mara. Hayo yameelezwa leo mkoani Dodoma na Waziri wa Elimu,
Sayansi na Teknolojia Profe...
Add a comment...

Post has attachment
Public
NDALICHAKO AZITAKA TAASISI ZA ELIMU YA JUU ZENYE MAPUNGUFU ZIJIREKEBISHE
Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amezitaka Taasisi za Elimu
ya Juu nchini ambazo matokeo ya uhakiki yalibainisha kuwa na mapungufu
kurekebishe kasoro hizo kama walivyoelekezwa na Mamlaka husika. Waziri
Ndalichako ametoa   agizo ...
Add a comment...

Post has attachment
Public
SERIKALI YAZINDUA MFUKO WA KUENDELEZA UJUZI
Serikali imezindua Mfuko wa Kuendeleza Ujuzi (SDF)
utakaowezesha watoa huduma za mafunzo ya ufundi katika ngazi mbalimbali kutoa
mafunzo yenye tija yatakayoweza kukuza stadi za kazi. Akizindua
Mfuko huo Jijini Dar es Salaam Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekno...
Add a comment...

Post has attachment
Public
TAARIFA KWA UMMA
TAARIFA KWA UMMA
TAARIFA KWA UMMA
wyestu.blogspot.com
Add a comment...

Post has attachment
Public
WAZIRI NDALICHAKO AMTAKA KATIBU MKUU WA WIZARA HIYO KUWACHUKULIA HATUA CHUO CHA UALIMU KASULU.
Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara hiyo
kuwachukulia hatua wale wote waliohusika na uagizaji na upokeaji wa vifaa vya
maabara katika Chuo cha Ualimu Wilayani Kasulu mkoni Kigoma. Waziri Ndalichako ...
Add a comment...

Post has attachment
Public
DK. SEMAKAFU ASEMA HAKUNA ATAKAESALIMIKA MATUMIZI YA FORCE AKAUNTI
Serikali
imesema haitasita kuchukua hatua za kisheria kwa mtu yeyote atakayekiuka
utaratibu wa kutumia Force Akaunti katika kutekeleza shughuli za ujenzi na
ukarabati kwenye Vyuo vya Maendeleo ya wananchi (FDC’S). Kauli
hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu W...
Add a comment...

Post has attachment
Public
WAZIRI NDALICHAKO AIELEKEZA COSTECH KUPELEKEA MIONGOZO YA KUSAIDIA WABUNIFU KWENYE HALMASHAURI
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
Profesa Joyce NDALICHAKO ameitaka Tume ya Taifa ya Sayansi naTeknolojia,
COSTECH -kuhakikisha miongozo yote ya namna yakuwasaidia wabunifu
inapelekwa  katika ngazi ya Halmashauri
ili kuwezesha kupatikana kwa bunifu zit...
Add a comment...

Post has attachment
Public
SERIKALI YAANZA KUKARABATI VYUO VYA MAENDELEO YA WANANCHI.
·          PROFESA MDOE ASISITIZA MATUMIZI YA FORCE
AKAUNTI Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya
Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa James Mdoe amewataka wakuu wa Vyuo vya
maendeleo ya Jamii nchini na Maboharia kutumia kikamilifu utaalamu watakaoupata
katika mafunz...
Add a comment...

Post has attachment
Public
SERIKALI IMEKABIDHI PIKIPIKI ZAIDI YA 2500 KUBORESHA ELIMU NCHINI
Wizara
ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Leo imekabidhi Pikipiki zaidi ya 2500 kwa   Waratibu Elimu Kata ili ziwasidie katika
kutekeleza majukumu yao kwa lengo la kuimarisha Elimu hapa nchini. Pikipiki
hizo zinakabidhiwa Leo Jijini Dar es Salaam na Waziri wa ...
Add a comment...

Post has attachment
Public
NAIBU WAZIRI OLE NASHA: VYUO VYA UFUNDI VINAMUANDAA KIJANA KUJIAJIRI NA KUAJIRIWA
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknlojia Mheshimiwa
William Ole Nasha amewataka vijana kuachana na dhana ya kuwa ili kufanikiwa
katika maisha lazima uwe umesoma hadi chuo Kikuu lakini ukweli ni kuwa vyuo vya
ufundi   vinamuandaa kijana kuwa na uwezo
wa k...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded