Profile cover photo
Profile photo
Meac Gcu
13 followers
13 followers
About
Posts

Post has attachment
Vacancy Announcemnt

Post has attachment
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki waadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma
Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz P Mlima akizungumza na Wafanyakazi (hawapo pichani) wakati maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umama.  Pamoja na mambo mengine Katibu Mkuu alitumia fursa hiyo kusikiliza matatizo na kero mbalimbali zinazo wakabili watumishi wakat...

Post has attachment
MHE. WAZIRI BALOZI DKT. MAHIGA AKUTANA NA RAIS WA SERIKALI YA ZANZIBAR MHE. DKT. SHEIN
Rais wa Serikali ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Ali Mohamed Shein akielezea jambo kwa Waziri Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga alipomtembelea Ofisini kwake Ikulu, Zanzibar mwishoni mwa wiki Rais wa Serikali ya Zanzibar na Mwenyeki...

Post has attachment
Uhuru wa kufanya biashara ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANI WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI                                                               TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Uhuru wa kufanya biashara ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Wizara ya M...

Post has attachment
**
Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz P. Mlima ( wa nne kutoka kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko anayefuata kushoto kwake, Makatibu Wakuu kutoka Wizara zinazosimamia masuala ya Jumuiya...

Post has attachment
KATIBU MKUU AKIWA KWENYE SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO MAALUM YA JKT
Mmoja wa wahitimu wa mafunzo maalum ya JKT akitoa salaam maalum ya kijeshi kwa Kattibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz P. Mlima Katibu Mkuu Balozi Dkt Aziz P. Mlima akimpongeza mmoja wa wahitimu waliofanya vizuri zaidi wakati wa mafunzo maalum ya JKT Katibu Mkuu Balo...

Post has attachment
KATIBU MKUU AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI
Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz P. Mlima, Mhe. Balozi Katarina Rangnit , Mkurugenzi Mkazi wa TMEA, Maafisa wa Ubalozi wa Sweden na Wakurugenzi kutoka Wizarani katika picha ya pamoja baada ya Mkutano June 13,2016 Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz P.Mlima na Mhe. B...

Post has attachment
**
Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz Mlima na Mhe.
Balozi Katarina Rangnit wakijadiliana jambo kwenye Mkutano uliofanyika Juni 13,
2016, Wizarani, wanaofuatilia kulia ni 
Wakurugenzi  kutoka Wizarani Bw.
Geoffrey Mwambe, Bw. Oswald Kyamani na Bw. Eliabi Chodota. Ka...

Post has attachment
**
    Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz Mlima katika
mazungumzo na Balozi wa Sweden             Nchini Mhe. Balozi Katarina Rangnitt
alipomtembelea  Wizarani, Juni 13, 2016. Katibu Mkuu Balozi Dkt. Aziz Mlima na Mhe.
Balozi Katarina Rangnitt wakiwasilikiza Mkuruge...

Post has attachment
HOTUBA YA MHESHIMIWA BALOZI DKT. AUGUSTINE PHILIP MAHIGA (MB), WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI AKIWASILISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA MAPATO NAMATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017
HOTUBA YA MHESHIMIWA BALOZI DKT.  AUGUSTINE PHILIP MAHIGA (MB), WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA  AFRIKA MASHARIKI AKIWASILISHA   MAKADIRIO YA BAJETI YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 UTANGULIZI 1.   Mheshimi w a   Spika, ...
Wait while more posts are being loaded