Profile cover photo
Profile photo
seif semmy
2 followers
2 followers
About
Posts

Post has attachment
MAPATO YA NDANI YAIMARISHWE KUFANIKISHA MALENGO YA MILLENIA
Pichani juu na chini ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano Wa Kimataifa Balozi Celestine Mushy akiwasilisha mada jinsi mataifa yalivyofikia SDGs, michakato inayoendelea na namna ambavyo Tanzania ina...
Add a comment...

Post has attachment
TAMASHA LA VYAKULA VYA ASILI LILIVYOFANA UMBRELLA GARDEN SIKU YA WANAWAKE
Tamasha
la vyakula vya asili lilivyofana Umbrella Garden          ·        wafanyabiashara
watakiwa kuanzisha kituo cha utalii wa chakula cha asili Na
Seif Mangwangi, Tanzaniasasablog WAFANYABIASHARA  wametakiwa kubuni mbinu mpya ya kutangaza
sekta ya utali...
Add a comment...

Post has attachment
EAC CELEBRATES INTERNATIONAL WOMEN’S DAY
East African Community PRESS RELEASE EAC CELEBRATES INTERNATIONAL WOMEN’S DAY The
Arusha City Council, Women Organisations, Staff members of the EAC and
other invited guests partaking in a ‘Walk for Gender Equality’ around
designated areas in Arusha town...
Add a comment...

Post has attachment
WAKAZI 10000 KUNUFAIKA NA UKARABATI BWAWA LA KALEMAWE
Pichani juu na chini ni washiriki wa kongamano hilo la siku moja ambao ni madiwani wa kata za Same, mainjinia  na wakandarasi kutoka halmashauri ya wilaya ya Same pamoja na wataalam kutoka UNDCF. Pichani juu na chini ni muonekano wa bwawa la Kalemawe lililo...
Add a comment...

Post has attachment
UN YAZINDUA RIPOTI YA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI
Uongozi wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) umezindua ripoti ya Kupambana na dawa za kulevyaa ya Umoja wa Mataaifa, Uzinduzi uliofanywa Machi 4, Jijini Dar es Salaam.   Wakizungumza mbele ya wandishi wa habari kwa upande wake, Afisa Habari wa Ki...
Add a comment...

Post has attachment
OLOLOSOKWAN WAFURAHIA UJIO WA KIJIJI CHA DIGITALI, UNESCO WATOA MAFUNZO
Mkurugenzi wa Shirika lisiolo la kiserikali la  IrikRAMAT  linalomiliki Redio Loliondo FM, Bw. Yannick Ndoinyo akitoa maoni yake wakati wa kuhitimisha warsha ya wiki moja iliyomalizika mwishoni mwa wiki wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani ikiwa ni sehemu ya man...
Add a comment...

Post has attachment
NYALANDU AWAAGA WAFANYABIASHARA WANAOENDA KUSHIRIKI MAONYESHO YA ITB, BERLIN UJERUMAN
Deputy Head of Mission wa Ubalozi wa Ujerumani, John Reyels akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla hiyo Na Andrew Chale  wa  modewji blog Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu amewataka wafanyabiashara wa Tanzania wanaoenda kushiriki ma...
Add a comment...

Post has attachment
MACHIFU 120 WAKUTANA ARUSHA KESHO, NI KWENYE TAMASHA LA UTAMADUNI LA 'MTU KWAO'
Chifu wa Kasulu Kigoma, Isambe Gilbert Isambe Chifu wa Kasulu mkoani Kigoma Isambe G. Isambe wa kwanza kushoto, Chifu wa Old Moshi, Gerald Madara katikati na Mkurugenzi wa Utamaduni Training Janeth Jonas kulia wakizungumza na waandishi wa habari jana Chifu ...
Add a comment...

Post has attachment
WAANDISHI WA HABARI WANA NAFASI KUBWA YA KUPAMBANA NA UJANGILI - SHELUTETE
MENEJA MAWASILIANO WA SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA (TANAPA) PASCAL SHELUTETE AKITOA SALAMU ZA MKURUGENZI WA SHIRIKA HILO KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUANIANI, KATIKA UKUMBI WAMIKUTANO WA AICC, JIJINI ARUSHA LEO WASHIRIKI WAKIMSIK...
Add a comment...

Post has attachment
SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI YAFANYIKA KITAIFA ARUSHA KWA WADAU KUTOA KWA HOJA MOTOMOTO
MTANGAZAJI WA KITUO CHA REDIO CHA RADIO 5 DAVID RWENYAGIRA AKISIKILIZA KWA MAKINI MADA ZILIZOKUWA ZIKIWASILISHWA, PEMBENI YAKE NI MWENYEKITI WA IRINGA PRESS CLUB, FRANK LEONARD MKURUGENZI WA UTPC ABUBAKAR KARSAN AKISIKILIZA KWA MAKINI MADA MBALIMBALI KATIKA...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded