Profile cover photo
Profile photo
Godlisten Silvan
92 followers
92 followers
About
Posts

Post has attachment
BORESHA KIPATO NA AFYA YAKO KUPITIA FOREVER LIVING PRODUCT
  Forever Living Product ni Kampuni inayoshughulika na utoaji
wa elimu na usambazaji wa bidhaa zenye virutubisho vya afya ikiwa ni pamoja na
kinga na tiba kwa magonjwa mbalimbali. Pia inatoa elimu ya ujasilia mali
inayomwezesha mtu kuongeza kipato cha ziada...

Post has attachment
AFYA NI UTAJIRI,AFYA NI UTAJIRI
Hiki ni kinywa cha asili husaidia kuondoa sumu mwilinihusaidia mmeng'enyo wa chakula mwilini,kupunguza alaeji  mwilini na pia hutibu magonjwa kama ya KISUKARI,VIDONDA VYA TUMBO,BP na kuupa mwili nguvu kwa maelezo zaidi piga au whatsapp 0713352384. Fab forev...

Post has attachment
Photo

Post has attachment
FURSA YA BIASHARA NI NINI?
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza biashara za kuanza kufanya, wakati
mwingine kumekuwa na baadhi ya watu ambao huwa na kianzio cha biashara
(mtaji), lakini hawafahamu ni biashara gani wataweza kufanya.

Fursa ya Biashara (Business Oppurtunity) hutokana ...

Post has attachment
**
Mawasiliano
bora   ni muhimu sana kwa mafanikio yetu katika nyanja
mbalimbali.   Kama hatuna mawasiliano yaliyobora au hatuwezi kuwasiliana inavyotakiwa basi itakuwa
ngumu kwa watu wengine kutusaidia katika kile tunachokihitaji.   Mawasiliano yasiyo bora au...

Post has attachment
UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI
UJASIRIAMALI---UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI Idadi
ya wanyama wanaofugwa kwa chakula imezidi ile ya binadamu zaidi ya mara
mbili kote ulimwenguni. Kuna maelfu ya wanyama kote duniani ilihali ni
wachache tu wanaoweza kufugwa. Kati ya hawa wanyama, ni...

Post has attachment
MBINU ZA KUJI-THAMINI NA KUJI-AMINI – TIP#3
Baada ya kukupa Tip#2 kwamba kila kijana
anapaswa kuelewa umuhimu wa Kujithamini (Self-esteem) na Kujiamini
(Confidence) na kuwa mambo haya mawili yanaweza kumjenga na kumbomoa
mtu. Ukosefu wa kuj ithamini na kujiamini
ndo mwanzo wa kuporomoka kwa mafan...

Post has attachment
MBINU ZA KUJI-THAMINI NA KUJI-AMINI – TIP#2
Mada iliyopita tulikupa Tip#1 iliyoeleza kwa
kifupi kuwa ili kijana awe na mafanikio kwenye masomo na maisha yake
kiujumla, anapaswa kuelewa umuhimu wa Kujithamini (Self-esteem) na
Kujiamini (C onfidence) na kuwa mambo haya mawili yanaweza kumjenga na ku...

Post has attachment
MBINU ZA KUJI-THAMINI NA KUJI-AMINI – TIP#1
Kuna mambo muhimu na misingi bora ambayo kila
kijana anapaswa kuyajua ili awe na mafanikio kwenye masomo na maisha
yake kiujumla. Haya mambo ya mtu kujithamini (Self-esteem) na kujiamini
(Self-c onfidence) yanaweza kumjenga mtu
na usipoyatilia maanani y...

Post has attachment
KUJENGA UPYA MAISHA YALIYOVUNJIKA
MTU yeyote aliyevunjika moyo au kukata tamaa kutokana na mambo magumu
yaliyompata, iwe ni kuyumba kiuchumi, kufiwa na ampendaye, kukimbiw a na
watoto, maradhi yasiyotibika au kuachwa na mume au mke, huwa anapata
maumivu makali yanayokata kama kisu ndani ...
Wait while more posts are being loaded