Profile cover photo
Profile photo
KHALFAN SAID
37 followers
37 followers
About
KHALFAN's posts

Post has attachment
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI


Post has attachment
CHATO WATAKIWA KUCHANGAMKIA KILIMO CHA MIHOGO CHENYE TIJA ILI KUINGIA KATIKA SOKO LA KIMATAIFA
Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita (RAS), Selestine Gesimba akizungumza na wataalamu wa kilimo kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Jukwaa la Bioteknojia na Uhandisi Jeni (OFAB) pamoja na wanahabari walipofika ofisini kwake wakiwa katika zia...

Post has attachment
PBZ, TADB KUWAINUA WAKULIMA VISIWANI ZANZIBAR
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis Assenga (kulia) akieleza lengo
la ushirikiano wa kati ya Benki ya Kilimo na  Benki ya Watu wa
Zanzibar  kwa  Mkurugenzi
Mtendaji wa PBZ, Bw. Juma Ameir (hayupo pichani) wakati wa kikao cha pamoja cha
Benk...

Post has attachment
UN YAENDELEA KUHAMASISHA VIJANA KUTAMBUA MALENGO 17 YA DUNIA (SDGS)
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na
Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez
katika picha ya pamoja na baadhi ya machampioni wa malengo ya dunia
chuoni hapo. Add caption Umoja wa Mataifa nchini umeendelea na hekahe...

Post has attachment
WASICHANA 8000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UNESCO WA ELIMU
Wasichana 8,000 waliopo shuleni na 600 ambao hawako shuleni watanufaika na mradi mkubwa wa kuwawezesha wasichana na wanawake vijana kupata elimu.

Mradi huo wa miaka minne wenye gharama ya dola za Marekani milioni 5 utafanyika katika wilaya tano nchini.
...

Post has attachment
TIMU YA AZANIA YAREJEA NCHINI BAADA YA KUSHIRIKI KWENYE MASHINDANO YA STANDARD CHARTERED UINGEREZA
Mashindano ya kombe la Standard Chartered yaliyokuwa yanafanyika nchini Uingereza yamemalizika na kombe hilo kutwaliwa na timu ya nchini Singapore. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa kuwasili timu ya Azania iliyowakilsiha nchi...

Post has attachment
KUTOKA MAGAZETINI LEO J"TANO MEI 24, 2017


Post has attachment
MKURUGENZI MANISPAA YA UBUNGO NDG JOHN L. KAYOMBO AFANYA KIKAO CHA MARIDHIANO NA KANISA LA KKKT KABLA YA KUVUNJWA UKUTA ULIOJENGWA KWENYE ENEO LA SHULE YA MSINGI UBUNGO PLAZA
Mkurugenzi
wa Manispaa ya Ubungo Ndg
John Lipesi Kayombo akikagua majengo ambayo yamejengwa na kanisa la KKKT
yakiwa yameingia katika eneo la shule ya Msingi Ubungo Plaza sambamba
na viongozi wa kanisa hilo baada ya kikao cha pamoja na Uongozi wa
Kanisa ...

Post has attachment
POLISI YA UINGEREZA YAMSHIKILIA KIJANA WA MIAKA 23 AKISHUKIWA KUHUSIKA NA MLIPUKO WA BOMU LILILOUA WATU ZAIDI YA 20 KWENYE UKUMBI WA BURUDANI
NA
K-VIS BLOG/N Mashirika ya Habari POLISI
wa Uingereza wanasema, wanamshikilia kijana mwenye umri wa miaka 23, kuhusiana
na tukio la mlipuko wa bomu lililoua watu 23 pamoja na mlipuaji katika
shambulio la “kigaidi” lililotekelezwa usiku wa kuamkia leo kwen...

Post has attachment
MAJALIWA ATMBELEA KIWANDA CHA KUUNGANISHA MATREKTA YA URSUS KILICHOPO KIBAHA. PIA ATEMBELEA ENO LA UWEKEZAJI LA KAMAL BAGAMOYO
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi  Mtendaji wa Shirika la
Umeme Tanzania (TANESCO), Dkt. Tito Mwinuka baada ya kutembelea eneo la
uwekezaji la Kamal Industrual Estate lililopo Kerege, Bagamoyo Mei 23, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mku...
Wait while more posts are being loaded