Profile cover photo
Profile photo
Bongo Swaggz
137 followers
137 followers
About
Bongo Swaggz's posts

Post has attachment
Peter Msechu: Nakubali Kukosolewa Lakini Sio Kuhusu Tumbo Langu.
Msanii wa Bongo Flava, Peter Msechu amesema si kweli huwa anachukia akikoselewa kama wimbo wake haujafika kiwango stahiki. Muimbaji huyo anayefanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Pakawa’, ameiambia Ladha 3600 ya E Fm kuwa asichokipenda ni ukosoaji wa mitandaoni...

Post has attachment
Linah 'Mimi Bado Mjamzito, Sijajifungua'
Msanii wa Bongo Flava, Linah amekanusha tetesi kuwa amejifungua. Hivi karibuni kuliibuka uvumi kuwa muimbaji huyo amejifungua taarifa ambazo Linah ameeleza kuwa si za kweli na kuwataka mashabiki wake kusubiri taarifa rasmi kutoka kwake. “Mimi bado mjamzito,...

Post has attachment
Ukiwa na Tabia Hizi 7, Lazima Mwanaume Akukimbie Tu !
1. CHOKOCHOKO Wanaume wengi huwa hawapendi chokochoko. Hawapendi mwanamke ambaye yeye kila wakati ni kuanzisha chokochoko ambazo zinazalisha ugomvi. Wanaume wengi hawapendi mabishano. Hawapendi ugomvi hivyo mwanamke anapokuwa hodari wa kuleta chokochoko, hu...

Post has attachment
Sugu: Nataka Niajiri Zaidi ya Watu 5000
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Joseph Mbilinyi amesema ndoto yake ni kuja kuajiri watanzania zaidi ya 5000 katika shughuli mbalimbali ambazo atazianzisha siku za usoni. Sugu ambaye ni mmiliki wa hotel ya Desderia ambayo inatarajiw...

Post has attachment
R Kelly Atuhumiwa Kwa ''Kuwanyanyasa Kingono Wanawake''
R Kelly atuhumiwa kwa ''kuwanyanyasa kingono wanawake'' Mwanamuziki wa mtindo wa R&B R Kelly amekana madai kwamba anawazuia wanawake kadhaa katika dhehebu lake analotumia kuwanyanyasa. Wakili wa mwanamuziki huyo alisema kuwa atatumia kila njia kuhakikisha k...

Post has attachment
Manchester United Yaichapa Real Salt
Mshambuliaji mpya Man United Romelu Lukaku mfungaji wa bao la ushindi katika mchezo dhidi ya Real Salt Lake Timu ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Real Salt Lake katika mchezo wa kirafiki uliofanyika huko nchini Marekani...

Post has attachment
Mbunge Goodluck Mlinga Azidi Kutetea Diamond Kuchongewa Sanamu la Heshima Aliyoipa Tanzania
Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Mh #GoodluckMlinga amezidi kutetea hoja yake ya kuwa wasanii waliofanya vizuri na kuiwakilisha nchi nje vizuri, kupewa heshima kama kujengewa sanamu na baadhi ya mitaa na barabara kupewa majina yao. Kipindi cha nyuma Mbunge huyo a...

Post has attachment
Mourinho: Hakuna Uwezekano wa Ronaldo Kuhamia Manchester United
Mourinho: Hakuna uwezekano wa Ronaldo kuhamia Manchester United Meneja wa Manchester United amekana kuwa kuna mpango wa kumsaini Cristiano Ronaldo kutoka Real Madrid. BBC iliripoti mwezi Juni kuwa Ronaldo alikasirishwa baada ya kushutumiwa kukwepa kulipa ko...

Post has attachment
Unafanyaje Unapomkosea Mpenzi Wako ? Jifunze Hapa
WATU wengi wamekuwa wakiteseka katika uhusiano wao, wanashindwa kujua cha kufanya ili kuwa bora kwa wenzi wao. Kila siku wanajikuta wanaingia kwenye uhusiano lakini baada ya muda mfupi unavunjika. Wapo wanaofikia hatua ya kujiapiza kwamba hawawezi kuwa kwen...

Post has attachment
Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 16.07.2017, Zipo Hapa
Kylian Mbappe Real Madrid wanafikiria kumuuza mshambuliaji Gareth Bale, 27, ili kupata fedha za kumnunua Kylian Mbappe, 18, kutoka Monaco. (Sunday Express) Meneja wa Arsenal Arsene Wenger anaamini Kylian Mbappe atabakia Monaco kwa msimu mmoja zaidi. (Sun on...
Wait while more posts are being loaded