Profile cover photo
Profile photo
Utumishi wa Umma Dar es Salaam
About
Utumishi wa Umma's posts

Post has attachment
SERIKALI YAWAPOKEA WATAALAM SITA WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WALIOKUJA KUTOA HUDUMA NCHINI
Mratibu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japani (JICA) Bw. Owa
Ichiro akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu, Bi.
Roxana Kijazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya
kuwakaribisha Wataalam wa kuj...

Post has attachment
SERIKALI YAZINDUA RASMI TOVUTI YA WATUMISHI (WATUMISHI PORTAL) KURAHISISHA UTOAJI HUDUMA KWA WATUMISHI NCHINI
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Dkt. Laurean Ndumbaro akitoa neno la utangulizi wakati wa uzinduzi wa Tovuti
ya Watumishi (Watumishi Portal) mkoani Dodoma leo. Kulia kwake ni Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais-Menejime...

Post has attachment
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MADAI YA WALIMU


Post has attachment
UTUMISHI YATOA UFAFANUZI KUHUSU MWONGOZO WA KUDHIBITI VVU,UKIMWI NA MAGONJWA SUGU YASIYOAMBUKIZWA MAHALI PA KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA KATIKA KIPINDI CHA MORNING TRUMPET KINACHORUSHWA NA AZAM TV
Mtangazaji wa Kipindi cha “Morning Trumpet” kinachorushwa na AZAM TV, Bw. Faraja Sendegeya (kushoto) akifanya mahojiano na Mkurugenzi kutoka Kitengo cha Anuai za Jamii cha Ofisi ya Rais -Utumishi Bi. Anne Mazalla . Kipindi hicho kililenga kutoa elimu kwa um...

Post has attachment
MHE. KAIRUKI AZINDUA RASMI, OFISI YA RAIS –UTUMISHI NA UTAWALA BORA ILIYOPO MAKAO MAKUU YA NCHI DODOMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akizungumza na Vyombo vya Habari kabla ya kuzindua rasmi utoaji wa huduma
wa ofisi yake iliyopo Makao Makuu ya Nchi Dodoma. Wengine ni baadhi ya
Wa...

Post has attachment
WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA WAKALA ZA SERIKALI, AZITAKA ZIFANYE KAZI NA KUJITEGEMEA
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Laurean Ndumbaro akiongea na Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali nchini leo jijini Dar es salaam, kushoto kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Um...

Post has attachment
Pongezi
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
inampongeza Mkurugenzi wa Utawala wa Utumishi wa Umma Bw.Nyakimura
Muhoji kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt.
John Pombe Magufuli kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi...

Post has attachment

Post has attachment
IDARA YA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA YAFANYA UKAGUZI WA HALI YA UTUNZAJI KUMBUKUMBU KATIKA OFISI ZA MAMLAKA YA MAPATO MKOANI MBEYA
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Kumbukumbu
na Nyaraka za Taifa Bw. Charles G. Magaya (aliyevaa koti la kijivu) akizungumza
na Watendaji wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoani Mbeya kuhusu namna bora
ya Utunzaji wa Kumbukumbu za ofisi alipofanya ziara ...

Post has attachment
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAHAMIA RASMI MAKAO MAKUU YA NCHI - DODOMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwatakia
watumishi wake safari njema ya kuhamia Makao Makuu ya nchi - Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na ...
Wait while more posts are being loaded