Profile cover photo
Profile photo
Krantz Mwantepele
347 followers -
 #Entrepeneur&Blogger  #Founder& C.E.O_KONCEPT®️ #Secretary at Tanzania Blogers Network #Startupper of the Year 2016  #Top50 Most influential Young Tanzanian🇹🇿
 #Entrepeneur&Blogger  #Founder& C.E.O_KONCEPT®️ #Secretary at Tanzania Blogers Network #Startupper of the Year 2016  #Top50 Most influential Young Tanzanian🇹🇿

347 followers
About
Posts

Post has attachment
QNET inaleta Faraja kwa jamii zisizojiweza katika nchi 13 za kiafrika
Meneja wa QNET, Muqtadir Suwani(kulia) akipeana mkono na Katibu wa   kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu cha  New Life Orphans Home, Hamadi Kondo  mara baada ya kutoa msaada wenye thamani ya zaidi ya milioni Tsh.9/- kwa kitu...
Add a comment...

Post has attachment
Shetta Afunguka Kilichomtenganisha na Diamond Platnumz
Msanii wa muziki Bongo, Shetta amefunguka kwanini kipindi hiki haonekani karibu na Diamond kama ilivyokuwa mwanzo. Shetta amesema kwa sasa kinachowatenganisha ni biashara tu na hakuna zaidi ya hapo. “Sidhani kama kuna bifu lakini mimi nafikiri biashara saba...
Add a comment...

Post has attachment
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya May 27
Ad
Add a comment...

Post has attachment
Diamond apewa ndinga mpya ya kifahari (Video)
Diamond Platnumz amekabidhiwa ndinga mpya ya kifahari na uongezi wake wa WCB. Muimbaji huyo mapema leo alipost video fupi akionyesha gari hiyo ya kisasa aina ya Toyota Land Cruiser. “Management yangu imenipatia Toy hii ndogo kwa ajili ya mikutano yangu ya k...
Add a comment...

Post has attachment
Ukipoteza Passport utatozwa 500,000 hadi 700,000 kupata nyingine
Kamishna wa Uhamiaji, Uraia na Passport, Gerald Kihinga amesema Mtanzania atakayepoteza hati ya kielektroniki ya kusafiria inayopatikana kwa Shilingi 150,000 atalazimika kulipa Shilingi 500,000 kupata mpya. Pia aliongeza kuwa iwapo ataipoteza tena hiyo aliy...
Add a comment...

Post has attachment
Mwili wa mbunge Bilago wa CHADEMA kuagwa Jumatatu Dodoma
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema mwili wa aliyekuwa mbunge wa Buyungu (Chadema), Kasuku Bilago utaagwa Jumatatu Mei 28, 2018 bungeni mjini Dodoma. Taarifa iliyotolewa leo Mei 26, 2018 na kitengo cha habari, elimu na mawasiliano cha Bunge, imeeleza kuwa ba...
Add a comment...

Post has attachment
Marais wa Korea Kaskazini na kusini wakutana kwa dharula
Viongozi wa Korea Kaskazini na Korea Kusini wamekutana eneo lenye ulinzi mkali kati ya nchi hizo mbili na kufanya mazungumzo ya siri. Mkutano huo ni wa pili kufanyika kati ya viongozi hao kati ya rais wa Korea Kusini, Moon Jae-in na kiongozi wa Korea Kaskaz...
Add a comment...

Post has attachment
Zari atupa dongo gizani juu ya mafanikio yake ‘endeleeni kudanga’
Ikiwa ni siku moja toka Zari The Bosslady aandike ujumbe wa kumkumbuka aliyekuwa baba watoto wake, Ivan Semwanga aliyetimiza mwaka mmoja siku ya jana toka afariki, Jumamosi hii mrembo huyo ametupa dongo gizani juu ya watu hao ambao wanafuatilia maisha yake....
Add a comment...

Post has attachment
Rais Magufuli akutana na Dkt. Shein Ikulu (+video)
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amekutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es salaam.
Add a comment...

Post has attachment
New Video: Frida Amani ft. G. Boy – Jibebe
Msanii wa muziki Bongo ambaye pia ni Mtangazaji wa East Africa Radio, Frida Amani ameachia video ya wimbo wake ‘Jibebe’ ambao amemshirikisha G. Boy, video imeongozwa na Kwetu Studio. Itazame hapa.
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded