Profile cover photo
Profile photo
Emmanuel Chibasa
3 followers
3 followers
About
Posts

Post has attachment
Timu ya wachezaji watumishi wa manispaa ya musoma ipo njia panda kwenda kushiriki katika mashindano ya shirikisho la michezo serikali za mitaa Tanzania Shimisemta
Timu ya
wachezaji   watumishi wa manispaa ya
musoma huenda ikashindwa kushiriki katika mashindano ya shirikisho la michezo
serikali za mitaa Tanzania Shimisemta, baada ya wachezaji wa timu hiyo kudai
kuwa hajapewa fedha toka katika ofisi ya mkurugenzi kwa a...
Add a comment...

Post has attachment
WANAFUNZI WA MARA SEKONDARI WAANDAMANA WAKIDAI MATIBABU BORA NA CHAKULA BORA
WANAFUNZI WA MARA SEKONDARI WAKIWA KATIKA MAANDAMANO                           Wanafunzi wa shule ya  Sekondari  ya Mara iliyopo 
Manispaa ya Musoma mkoani Mara leo wameandamana kuelekea ofisi za mkoa   kile wanachodai kuwa katika shule hiyo hakuna
utaratib...
Add a comment...

Post has attachment
**
Emmanuel
Chibasa-Mara Watu wenye
ulemavu mkoani Mara wamekutana na uongozi wa mkoa wakiwemo madiwani, wakuu wa
idara, pamoja na maafisa maendeleo ya jamii, lengo ikiwa ni kuitambulisha   miongozo ya kitaifa na kimataifa inayoelezea
mahitaji na hali halisi y...
Add a comment...

Post has attachment
**
25 Oct 2014 TIMU ya Polisi Mara imeondoka
kuelekea mkoani Shinyanga kucheza mchezo wake wanne dhidi ya timu ya Mwadui
huku ikitoa tambo ya kufanya mizuri kwenye mchezo huo kutokana na uelewano wa
wachezaji. Akizungumza kabla ya kuondoka kwa
timu hiyo yenye ...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded