Profile cover photo
Profile photo
Abdallah Mwaipaya
130 followers
130 followers
About
Posts

Post has attachment
BREAKING NEEEEEWS. HATIMAYE PROF LIPUMBA AACHIA NGAZI RASMI NAFASI YAKE YA UENYEKITI KATIKA CHAMA CHA WANACHI CUF
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Haruna Lipumba Hatimae mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF proffessor Ibrahim Haruna Lipumba ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti katika chama cha wanchi CUF.  Prof Lipumba amesema ameamua kuachia naf...
Add a comment...

Post has attachment
MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA 13 ASIMIKWA RASMI KUWA CHIFU WA WAHEHE
Mwanafunzi wa darasa la saba Adam Abdul Sapi Mkwawa(13) ametawazwa rasmi kuwa chifu wa kabila la wahehe kufuatia kifo cha baba yake mzazi Abdul Sapi Mkwawa(66). Rais Jakaya Kikwete alikuwa ni mmoja kati ya watu waliohudhuria maziko ya Chifu Abdul Sapi Mkwaw...
Add a comment...

Post has attachment
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA CHIFU ABDU MFWIMI ADAM MKWAWA KATIKA KIJIJI CHA KARENGA IRINGA FEBRUARI 16, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akitia saini katika kitabu cha maomborezo baada ya kuwasili kushiriki
mazishi ya aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam
Mkwawa katika  Kijiji cha  Karenga Februari 16, 2015.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akim...
Add a comment...

Post has attachment
JENGO LA GHOROFA 2 LIMETEKETEA NA MOTO JIJINI DAR
KIKOSI CHA ZIMA
MOTO WAKIWA KAZINIKUJITAHIDI KUZIMA MOTO ULIOTOKEA KATIKA MAKUTANO YA
BARABARA YA LIIBYA NA MSIKITI KATIKA YA JIJI KIKOISI CHA KUZIMA MOTO WAKIWA KAZINI KUZIMA MOTO ULIOTOKEALEO JENGO LILILOUMGUA MOTO WAFANYAKAZI WA KIKOSI CHA ZIMAMOTO KAM...
Add a comment...

Post has attachment
RAIS WA ZAMBIA MICHAEL SATA AFARIKI DUNIA
Continue reading the main story Related Stories 'King Cobra' strikes Zambia profile China's stake in Zambia's election Rais wa Zambia Michael Sata amefariki dunia nchini uingereza alikokuwa anapata matibabu ya ugonjwa ambao mpaka kifo chake haijawekwa wazi ...
Add a comment...

Post has attachment
MOTO WATEKETEZA MAGHALA 5 NA KUUNGUZA TANI ELFU TATU ZA MASHUDU MKOANI SINGIDA
Maghala
matano ya kiwanda cha maunt meru Oil Miller cha mjini singida
kimeteketea kwa moto na kuunguza zaidi ya tani elfutatu za mashudu
ikiwemo mashine ya kukamulia mafuta na kusababisha hasara ya mamilioni
ya fedha. Akieleza mkuu wa mkoa wa singida Dk...
Add a comment...

Post has attachment
MUONEKANO WA KITUO KIPYA CHA DALA DALA KILICHOHAMISHWA KUTOKA UBUNGO
GAR LA DALADALA LIKITOKA KATIKA KITUO KIPYA CHA DALADALA CHA MAWASILIANO BAADHI YA MAGARI YA DALADALA  KATIKA KITUO KIPYA KINACHOJULIKANA KAMA SINZA TEMINAL ENEO LA MAWASILIANO ABIRIA WAKIWA KATIKA KITUO KIPYA CHA DALADALA MAGARI YAKICHEKIWA HATA UDA YUPO K...
Add a comment...

Post has attachment
WANANCHI WA MKOA WA KILIMANJARO WAONDOLEWA HOFU YA KUWEPO MGONJWA WA EBOLA MKOANI HUMO
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama Uongozi wa mkoa wa kilimanjaro umewaondoa hofu wananchi wake juu ya ugonjwa hatari wa Ebola kutokana na kuwepo mgonjwa anayehudumiwa katika zahanati ya Shirimatunda katika manispaa ya Moshi aliyedhaniwa kuwa na dali...
Add a comment...

Post has attachment
MIAKA 10 TANGU KIFO CHA FREDY NDALA KASHEBA
  LEO
tunatimiza miaka kumi toka kifo cha mwanamuziki mahiri Freddy Supreme
au maarufu kama Ndala Kasheba. Freddy alianza kufundishwa gitaa na baba
yake wakati akiwa na umri wa miaka 12. Baba yake alijua kupiga gitaa
japo hakufanya kazi ya uanamuziki, a...
Add a comment...

Post has attachment
OSCAR PISTORIUS AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITANO JELA
Oscar Pistorius amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kukutwa na hatia ya kuua bila kukusudia kwa kumpiga risasi aliyekuwa mpenzi wake Reeva Steenkamp mwezi wa pili mwaka jana.Pia amehukumiwa miaka mitatu kwa kosa la kutumia vibaya silaha aliyo...
Add a comment...
Wait while more posts are being loaded