Profile cover photo
Profile photo
HABARI24 TV
388 followers
388 followers
About
HABARI24's posts

Post has attachment
Serikali yaweka sawa Utaratibu wa kufuta Viroba nchini
Kufuatia kauli ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa aliyotoa tarehe 16/02/2017 huko Mererani, Mkoani  Manyara kuhusu kusitisha utengenezaji, uuzaji na matumizi ya pombe zinazofungashwa kwenye vifungashio vya plastiki kuanz...

Post has attachment
SBL yaanza kuuzaa bia Kenya
Dar es Salaam, Februari 20, 2017 - Kwa mara ya kwanza, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imeanza kuuza nje ya nchi  bidhaa zake katika  soko la kikanda,  eneo la kwanza  likiwa ni nchi jirani ya Tanzania kwa upande wa Kaskazini, Kenya. Shehena ya kwanza ya ...

Post has attachment
USAJILI WA TIGO KILI HALF MARATHON WAENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM
 Mkazi wa jiji la Dar es Salaam, Edger Damian akijisajili kwa njia ya Tigopesa kwa ajili ya mashindano ya Kili Marathon yatakayofanyika Kilimanjaro hivi karibuni. Usajili huo ulifanyika mwishoni mwa wiki. Msajili wa Kili marathon wa Tigo, Neema Misaji akimp...

Post has attachment
WANAFUNZI WANNE CHUO KIKUU KIU- DAR WAKIFISHWA MAHAKAMANI KWA KUMKASHFU RAIS MAGUFULI WHATSAPP
Wanafunzi wanne wa Chuo Kikuu cha Kampala(KIU) kampasi ya Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, kujibu shitaka la kusambaza picha za kumkashifu Rais John Magufuli kupitia mtandao wa kijamii wa WhatsApp. Washitakiwa hao ni Amenitha ...

Post has attachment
MAHAKAMA KUU YAZUIA MBOWE ASIKAMATWE
Leo Februari 21, 2017 Mahakama Kuu imeamuru Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asikamatwe hadi maombi yake kutokamatwa yataposikilizwa siku ya Ijumaa. Kiongozi huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni tarehe 10 mwezi huu alifungua kesi ya Kikatiba dhidi ya...

Post has attachment
FAUSTIN SUNGURA:MBATIA AJIMILIKISHA MALI ZA CHAMA
Faustin Sungura  Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi  JAMES  MBATIA pamoja na Katibu mkuu wa chama hicho MARTINI DANDA wamepewa siku tatu kujiuzulu ndani chama hicho kwa madai ya kujimilikisha mali za chama.             Hayo yameelezwa na aliyekuwa mmoja w...

Post has attachment
TAMKO LA SERIKALI MCHEZO WA SIMBA NA YANGA
Ndugu Watanzania Jumamosi, tarehe 25/02/2017 saa 10.00
jioni Uwanja wa Taifa tutakuwa na mchezo mkubwa wa kati ya Simba SC na Yanga
FC. Ikumbukwe kuwa mchezo uliopita wa timu hizi uliochezwa
kwenye uwanja huu tarehe 1/10/2016 zilitokea vurumai zilizosababis...

Post has attachment
MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM AOMBA BUSARA ZA MASHEHE NA WAZEE KATIKA KULIONGOZA JIJI HILO
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita,akisalimiana na Mwenyeji wake,Daluwesh Dume (katikati) kwenye hafla ya sherehe ya Maulid ya Mtume S.A.W iliyofanyika Mtaa wa Da Estate eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam jana.  Meya wa Jiji la Dar es Sa...

Post has attachment
WANACHAMA WA TANZANIA GIRL GUIDS WAFANYA USAFI MAGOMENI KOTA, COCO BEACH DAR
 Walimu na wanafunzi wa shule za Msimbazi na Mongo la ndege ambao ni wanachama wa chama cha Tanzania Girl Guids (TGGA), wakijitolea kufanya usafi katika viwanja vya Magomeni Kota, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra ya maadhimisho ya wiki ya uto...

Post has attachment
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI ATANGAZA VITA NA WAVUVI HARAMU
Mkuu wa wilaya ya kinondoni,Ally Hapi ametangaza vita kwa watu wote wajihusisha na uvuvi haramu Ndani ya wilaya yake,baada ya kufanikiwa kumata nyavu haramu za uvuvi zenye thamani ya milioni 60. Hapi ametangaza oparesheni hiyo Leo wakati alipokuwa kwenye zi...
Wait while more posts are being loaded