Profile

Cover photo
Wakala ya Serikali Mtandao
31 followers|21,372 views
AboutPostsPhotosYouTube+1's

Stream

 
Serikali imeandaa Muundo wa Viwango na Miongozo wa Serikali Mtandao unaotosheleza mahitaji ya usanifishaji wa shughuli za serikali Mtandao ambao unahakikisha serikali inakuwa kama taasisi moja kwa kuunganishwa na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) huku usalama na faragha za taarifa za serikali na watumiaji zikiimarishwa.
http://ega.go.tz/index.php/news/news_details/125


 ·  Translate
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-MUU anaelekeza utendaji na kudhibiti uendeshaji na kushauriwa na Bodi ya Ushauri ya Wizara. Katibu Mkuu anasimamia utekelezaji wa Sera; menejimenti ina Mtendaji Mkuu na Wakurugenzi wanne. Huduma Zetu. Huduma kwa Simu · Mtandao wa Serikali · Mfumo wa Barua Pepe ...
1
Add a comment...
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Serikali inaziagiza taasisi zote za umma kuhuisha taarifa katika tovuti zake, Tovuti Kuu ya Serikali (www.tanzania.go.tz) na kupokea na kujibu hoja za wananchi katika Tovuti ya Wananchi (www.wananchi.go.tz) ili kuwapatia wananchi huduma bora.

http://ega.go.tz/uploads/publications/d7eb9afe1689b772aa7776f4b93e99e5.pdf 
 ·  Translate
1
Add a comment...
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UTEKELEZAJI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2016

Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) imeaanda utaratibu mahususi wa
kutembelea wateja wake ambao ni taasisi za umma ili kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinazotokana na huduma inazozitoa.

Huduma hizo ni pamoja na Mfumo wa Barua Pepe Serikalini unaorahisisha mawasiliano ndani ya Serikali, Uhifadhi wa mifumo na tovuti za Serikali, Mfumo wa utoaji huduma kwa Simu za Mkononi kupitia *152*00#, Uratibu wa Mtandao wa Serikali, Ugawaji wa Masafa ya Internet, Huduma ya ujumbe mfupi wa Maandishi (sms), Utengenezaji wa mifumo na tovuti na usajili wa anuani za tovutI.
 ·  Translate
1
Add a comment...
 
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
USIMAMIZI WA MIRADI YA TEHAMA SERIKALINI

Taasisi za umma zinashauriwa kushirikiana na Wakala ya Serikali Mtandao katika kupanga na kutekeleza Miradi ya TEHAMA Serikalini ili kurahisisha mpango wa kubaini na kuondoa urudufu na kuipunguzia Serikali gharama za usimikaji na uendeshaji mifumo inayofanana ndani ya Serikali

http://ega.go.tz/uploads/publications/82cfa3931410eec99990352674d7c7cf.pdf
 ·  Translate
View original post
1
Add a comment...
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Serikali imeunganisha Taasisi 72 katika Mtandao wa Mawasiliano wa Serikali (‘Government Communication Network-GovNet) kupitia Mkongo wa Taifa (NICTBB) kwa Optic Fiber Cable. Pia Taasisi 77 zilizo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI zitaunganishwa kwenye mtandao huo kufikia Disemba 2016. Taasisi hizo pia zimefungiwa Mtandao wa Ndani wa Mawasiliano (LAN) pamoja na mfumo wa simu zenye itifaki ya intaneti (Internet Protocol Phones (IP phones) Private Branch Exchange (IP PBX).
http://ega.go.tz/uploads/publications/704b4fb0d894c05e08784fdcffcf53da.pdf

 ·  Translate
1
Add a comment...
1
Add a comment...
 Meneja Habari, Elimu na Mawasiliano wa Wakala ya Serikali Mtandao, Bi Suzan Mshakangoto akizungumza na waandishi wa habari Juni 22, 2016 katika Ukumbi wa Wakala kuhusu namna Wakala itakavyotekeleza maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2016 kama ilivyoelekezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki
 ·  Translate
2
1
Add a comment...
Basic Information
Gender
Decline to State
Wakala ya Serikali Mtandao's +1's are the things they like, agree with, or want to recommend.